Mwanamuzi na Mbunge wa Uganda Mhe.Bobi Wine Awasili Nchini Marekani Kwa Ajili ya Kupata Matibabu.

Mwanamuzi na Mbunge wa Uganda Mhe.Bobi Wine Awasili Nchini Marekani Kwa Ajili ya Kupata Matibabu. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwanamuzi na Mbunge wa Uganda Mhe.Bobi Wine Awasili Nchini Marekani Kwa Ajili ya Kupata Matibabu., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwanamuzi na Mbunge wa Uganda Mhe.Bobi Wine Awasili Nchini Marekani Kwa Ajili ya Kupata Matibabu.
kiungo : Mwanamuzi na Mbunge wa Uganda Mhe.Bobi Wine Awasili Nchini Marekani Kwa Ajili ya Kupata Matibabu.

soma pia

Mwanamuzi na Mbunge wa Uganda Mhe.Bobi Wine Awasili Nchini Marekani Kwa Ajili ya Kupata Matibabu.

Mbunge wa Uganda na Mwanamuziki Mhe.Bobi Wine, wakati akiondoka nchini Uganda, kuelekea Nchini Marekani kwa Matibabu.. 

BBC.Habari.
Mwanamuziki na Mbunge Nchini Uganda Bobi Wine amewasili Marekani kwa matibabu kufuatia madai kuwa aliteswa na kupigwa wakati akizuliwa na wanajeshi.
Wine aliruhusiwa kuondoka nchini Uganda mapema lakini aliruhusiwa kuondoka Ijumaa.
Yeye na wanasiasa 32 wa upinzani walishtakiwa na shtaka la uhaini wiki iliopita kufuatia madai ya kuupiga mawe msafara wa rais Yoweri Museveni.
Bobi Wine mapema aliachiliwa kwa dhamana lakini akaambiwa kwamba hawezi kuondoka Uganda.
Siku ya Ijumaa , maafisa wa polisi walithibitisha kwamba alikuwa ameruhusiwa kuondoka nchini humo kwa matibabu maalum baada ya serikali kutuma kikosi cha madaktari tisa kumchunguza hali yake.
Wakili wa Bobi Wine mapema alikuwa amesema kuwa mwanamuziki huyo alikuwa amekamatwa kwa nguvu akiwa katika uwanja wa ndege siku ya Alhamisi, ijapokuwa jaji alikuwa amemruhusu kupata pasipoti yake kwa sababu alihitaji kuondoka nchini humo kwa sababu za kimatibabu.
Mwanamuziki na mbunge nchini Uganda Bobi Wine amewasili Marekani kwa matibabu kufuatia madai kuwa aliteswa na kupigwa wakati akizuliwa na wanajeshi.
Wine aliruhusiwa kuondoka nchini Uganda mapema lakini aliruhusiwa kuondoka Ijumaa.
Yeye na wanasiasa 32 wa upinzani walishtakiwa na shtaka la uhaini wiki iliopita kufuatia madai ya kuupiga mawe msafara wa rais Yoweri Museveni.
Bobi Wine mapema aliachiliwa kwa dhamana lakini akaambiwa kwamba hawezi kuondoka Uganda.
Siku ya Ijumaa , maafisa wa polisi walithibitisha kwamba alikuwa ameruhusiwa kuondoka nchini humo kwa matibabu maalum baada ya serikali kutuma kikosi cha madaktari tisa kumchunguza hali yake.
Wakili wa Bobi Wine mapema alikuwa amesema kuwa mwanamuziki huyo alikuwa amekamatwa kwa nguvu akiwa katika uwanja wa ndege siku ya Alhamisi, ijapokuwa jaji alikuwa amemruhusu kupata pasipoti yake kwa sababu alihitaji kuondoka nchini humo kwa sababu za kimatibabu.
Mwanamuziki huyo mwenye miaka 36 awali alishtakiwa kwenye mahakama ya kijeshi kwa makosa ya umiliki wa silaha kinyume cha sheria, mashtaka ambayo yalifutwa baadaye. Kisha akafunguliwa mashtaka ya uhaini kwenye mahakama ya kiraia.

Bobi Wine ni nani hasa?

Nyota huyu wa mtindo wa Afrobeats aliingia katika taaluma ya muziki katika miaka ya 2000, na anaelezea kipaji chake kuwa ni cha kuelimisha na kuburudisha. Mojawapo ya vibao vyake vya awali Kadingo, inahusu usafi wa mwili.
Alizaliwa 12 Februari 1982, Bobi Wine na alikuwa na miaka minne pekee Museveni alipoingia madarakani mwaka 1986.
Jina lake rasmi Wine, ni Robert Kyagulanyi Ssentamu.
Alilelewa katika mtaa duni wa Kamwokya kaskazini mashariki mwa Kampala na alianza kujihusisha katika muziki mapema miaka ya 2000.
Nyimbo zake za mtindo wa dansi za 'Akagoma' na 'Funtula' zilikuwa maarufu sana miongoni mwa vijana.
Ana shahada ya muziki, dansi na uigizaji kutoka Chuo Kikuu cha Makerere ambapo alihitimu mwaka 2003.
Aprili 2018 alifuzu na stashahada ya masuala ya kisheria kutoka Kituo cha Maendeleo ya Sheria, Kampala.
Alichaguliwa kuwa mbunge katika uchaguzi mdogo baada ya kusimama kama mgombea huru mwaka 2017 wilayani Kyadondo mashariki, Uganda ya kati.
Aliwashinda wagombea kutoka chama tawala National Resistance Movement (NRM) na chama kikuu cha upinzani Democratic Change (FDC).
Baada ya kutangazwa mshindi, aliahidi kuangazia zaidi kuwaunganisha raia.
"Jambo langu la kwanza ninalotaka kufanya ni kufanikisha maridhiano kati ya viongozi wa Kyadondo Mashariki...Ninataka siasa zitulete pamoja... jinsi muziki ufanyavyo."

Hivyo makala Mwanamuzi na Mbunge wa Uganda Mhe.Bobi Wine Awasili Nchini Marekani Kwa Ajili ya Kupata Matibabu.

yaani makala yote Mwanamuzi na Mbunge wa Uganda Mhe.Bobi Wine Awasili Nchini Marekani Kwa Ajili ya Kupata Matibabu. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwanamuzi na Mbunge wa Uganda Mhe.Bobi Wine Awasili Nchini Marekani Kwa Ajili ya Kupata Matibabu. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mwanamuzi-na-mbunge-wa-uganda-mhebobi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mwanamuzi na Mbunge wa Uganda Mhe.Bobi Wine Awasili Nchini Marekani Kwa Ajili ya Kupata Matibabu."

Post a Comment