title : MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA
kiungo : MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA
MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kushoto) akizungunza na Balozi wa Vatican nchini ambaye ni Mwakilishi wa Papa, Askofu Mkuu Marek Solczynski( wa pili kutoka kushoto) na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Mhashamu Paul Ruzoka(katikati) wakati kiongozi huyo wa kiroho alipomtembelea Ofisi kwake jana.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (mwene koti la bluu) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Vatican nchini ambaye ni Mwakilishi wa Papa, Askofu Mkuu Marek Solczynski( pembeni yake kutoka kulia) na ,Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Mhashamu Paul Ruzoka(wa pili kutoka kulia) na viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wakati kiongozi huyo wa kiroho alipomtembelea Ofisi kwake jana.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Tabora Mhashamu Paul Ruzoka( ) akizungunza na viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tabora mara baada ya Balozi wa Vatican nchini ambaye ni Mwakilishi wa Papa, Askofu Mkuu Marek Solczynski( pembeni ya Mkuu wa Mkoa) alipomtembelea Ofisi ya Mkoa huo jana.
Hivyo makala MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA
yaani makala yote MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mwakilishi-wa-papa-awatembelea-jimbo.html
0 Response to "MWAKILISHI WA PAPA AWATEMBELEA JIMBO KUU LA TABORA"
Post a Comment