Wananchi wa Mkuranga wanufaika na Kilimo

Wananchi wa Mkuranga wanufaika na Kilimo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wananchi wa Mkuranga wanufaika na Kilimo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wananchi wa Mkuranga wanufaika na Kilimo
kiungo : Wananchi wa Mkuranga wanufaika na Kilimo

soma pia


Wananchi wa Mkuranga wanufaika na Kilimo

Na Emmanuel Massaka,Global ya jamii
WILAYA ya Mkuranga ni moja ya wilaya saba zilizopo mkoani pwani wakazi wake  wakijishughuisha sana na shughuli za kilimo ilikujipatia kipato.

Wilaya ya Mkuranga inalima mazao  mbalimbali ya biashara na ya chakula ikiwemo Mihogo,Mbaazi,Korosho Machungwa Ufuta Mananasi pamoja na Nazi.

Pia wananchi wa Mkuranga wanategemea sana kilimo katika uchumi wao ambapo moja ya zao lililoshika kasi ni korosho,wanasomesha watoto kupitia korosho pamoja na kukuza pato la mtu mmoja mmoja.

Akizungumza wilayani Mkuranga mkoani Pwani Umri  Manage  mkulima wa mihogo na bamia alisema kuwa  kilimo kimemsaidia kwani ndio kinachoendesha Maisha yake"mimi nalima bamia linaniongezea kipato changu cha kila siku pia namsaidia mume wangu baadhi ya majukumu"amesema.

Manage  alitoa wito kwa wanawake wote nchini kuacha kujibweteka na kuacha utegemezi masala yake wajishughulishe katika shughuli mbalimbali za maendeleo.
 Mfanyabiashara na Mkulima wa Bamia,Umri Manage akizungumza na Michuzi Blog kuhusiana Kilimo.Wananchi wakivuna Mihogo   kama walivyokutwa na kamera yetu

Wananchi  wa wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani wakivuna Mihogo   kama walivyokutwa na kamera yetu.
Picha na Emmaniel Massaka wa Global ya jamii)


Hivyo makala Wananchi wa Mkuranga wanufaika na Kilimo

yaani makala yote Wananchi wa Mkuranga wanufaika na Kilimo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi wa Mkuranga wanufaika na Kilimo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/wananchi-wa-mkuranga-wanufaika-na-kilimo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Wananchi wa Mkuranga wanufaika na Kilimo"

Post a Comment