title : Mtandao wa Kijamii wa Zanzinews.com Wakabidhiwa Hati ya Usajili wa Leseni ya Utangazaji Online na Tume ya Utangazaji Zanzibar.
kiungo : Mtandao wa Kijamii wa Zanzinews.com Wakabidhiwa Hati ya Usajili wa Leseni ya Utangazaji Online na Tume ya Utangazaji Zanzibar.
Mtandao wa Kijamii wa Zanzinews.com Wakabidhiwa Hati ya Usajili wa Leseni ya Utangazaji Online na Tume ya Utangazaji Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi Leseni ya Utangazaji kupitia Online Mkurugenzi Mtendaji wa Zanzinews.Com. Othman Maulid Othman, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi mdogo wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar kulia Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir, Jumla ya Vutuo 8 Vimekabidhiwa leseni ya Utangazaji kupitia Online.
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kushoto akimkabidhi Leseni ya Online ya Utangazaji kupitia Facebook Online Ikulu Zanzibar Mkurungenzi wa Mawasiliani Ikulu Zanzibar Ndg. Hassan Khatib, akishuhudia Mrajasi wa Tume ya Utangazani Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar.
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo kushoto akimkabidhi Leseni ya Online ya Utangazaji kupitia Facebook Online Idara ya Mabari Maelezo Zanzibar akikabidhiwa Naibu Mkurungenzi Idara ya Mabari Maelezo Zanzibar Dkt. Juma Mohammed Salum, akishuhudia Mrajasi wa Tume ya Utangazani Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombe kulia akimkabidhi Mkurugenzi wa Kituo cha Zanonline Tech Ndg Said Abdallah, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni, akishuhudia Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombe kulia akimkabidhi Mkurugenzi wa Kituo cha Pemba Tv Online Ndg Abdallah Juma , hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni, akishuhudia Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombe kulia akimkabidhi Mkurugenzi wa Kituo cha Mubashara Media Network Ndg Suleiman Juma hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni, akishuhudia Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombe akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Lesini za Utangazaji kupitia Mitandao (Online Tv) na Mitangao ya Kijamii, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar
Hivyo makala Mtandao wa Kijamii wa Zanzinews.com Wakabidhiwa Hati ya Usajili wa Leseni ya Utangazaji Online na Tume ya Utangazaji Zanzibar.
yaani makala yote Mtandao wa Kijamii wa Zanzinews.com Wakabidhiwa Hati ya Usajili wa Leseni ya Utangazaji Online na Tume ya Utangazaji Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mtandao wa Kijamii wa Zanzinews.com Wakabidhiwa Hati ya Usajili wa Leseni ya Utangazaji Online na Tume ya Utangazaji Zanzibar. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mtandao-wa-kijamii-wa-zanzinewscom.html
0 Response to "Mtandao wa Kijamii wa Zanzinews.com Wakabidhiwa Hati ya Usajili wa Leseni ya Utangazaji Online na Tume ya Utangazaji Zanzibar."
Post a Comment