PROF KITILA MKUMBO AKUTANA NA MENEJIMENTI MPYA YA DAWASA LEO JIJINI DAR

PROF KITILA MKUMBO AKUTANA NA MENEJIMENTI MPYA YA DAWASA LEO JIJINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PROF KITILA MKUMBO AKUTANA NA MENEJIMENTI MPYA YA DAWASA LEO JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PROF KITILA MKUMBO AKUTANA NA MENEJIMENTI MPYA YA DAWASA LEO JIJINI DAR
kiungo : PROF KITILA MKUMBO AKUTANA NA MENEJIMENTI MPYA YA DAWASA LEO JIJINI DAR

soma pia


PROF KITILA MKUMBO AKUTANA NA MENEJIMENTI MPYA YA DAWASA LEO JIJINI DAR

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
KATIBU Mkuu wa  Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof Kitila Mkumbo amezindua Menejimenti mpya ya  Mamlaka ya Maji Taka na Maji Safi (DAWASA) na kuwaomba wadau wa maji nchini kushiriki katika utoaji wa maoni kuhusiana na utungaji wa sheria mpya ya maji

Amezungumza hayo katika Ofisi za Dawasa jijini Dar Es Salaam na kuongeza kuwa sheria hii mpya itasaidia Mambo mengi ikiwa ni pamoja na udhibiti wa maji ambayo yamekuwa yakipotea kwa asilimia 44 mpaka sasa

Prof Mkumbo amesema wizara inapendekeza kuanzishwa kwa Taasisi maalumu  ya kushughulikia miradi ya maji mijini na vijijini yaani Rural Water Agency, Taasisi ambayo imekisudia kuimarisha Jumuia za watumiaji wa maji kwa ngazi za vijiji na miji ikiwa ni pamoja na uimarishaji wa Taasisi mpya ya Dawasa

Kutunga kwa sheria hii mpya ya maji kutaongeza matamanio kwa watumiaji wa maji na kuhakikisha kila Mtanzania anapata maji safi kwa uhakika   

Wakizungumza kwa niaba ya DAWASA Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mhandisi Cyprian Luhemeja amewataka wananchi wa Dar Es Salaam na Pwani kishirikiana na Dawasa katika ufanyaji kazi wake hasa kutoa taarifa punde inapobainika uvujaji wa maji, na kusisitiza kuhusu utungaji wa sheria mpya unapofanyika wananchi watoe maoni ili mchakato uwe na tija kwani sheria hii ina manufaa makubwa kwa wananchi.
Katibu Mkuu wa  Wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof Kitila Mkumbo (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Menejiment mpya ya Mamlaka ya Maji Taka na Maji Safi (DAWASA) inayoongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mhandisi Cyprian Luhemeja (kulia) leo baada ya kukutana nao ofizi za DAWASA Jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala PROF KITILA MKUMBO AKUTANA NA MENEJIMENTI MPYA YA DAWASA LEO JIJINI DAR

yaani makala yote PROF KITILA MKUMBO AKUTANA NA MENEJIMENTI MPYA YA DAWASA LEO JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PROF KITILA MKUMBO AKUTANA NA MENEJIMENTI MPYA YA DAWASA LEO JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/prof-kitila-mkumbo-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "PROF KITILA MKUMBO AKUTANA NA MENEJIMENTI MPYA YA DAWASA LEO JIJINI DAR"

Post a Comment