MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AUNGANA NA BENKI YA KCB KUFANYA USAFI MBAGALA ZAKHIEM

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AUNGANA NA BENKI YA KCB KUFANYA USAFI MBAGALA ZAKHIEM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AUNGANA NA BENKI YA KCB KUFANYA USAFI MBAGALA ZAKHIEM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AUNGANA NA BENKI YA KCB KUFANYA USAFI MBAGALA ZAKHIEM
kiungo : MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AUNGANA NA BENKI YA KCB KUFANYA USAFI MBAGALA ZAKHIEM

soma pia


MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AUNGANA NA BENKI YA KCB KUFANYA USAFI MBAGALA ZAKHIEM

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
 MKUU wa Wilaya ya Temeke  Mh. Felix Lyaniva akishirikiana na wafanyakazi wa Benki wa KCB pamoja na   wafanyabiashara wa eneo la Mbagala Zakhiem wamefanya  usafi kwa pamoja katika eneo hilo ikiwa ni kuweka mazingira safi na salama.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Felix Lyaniva ameiomba Benki ya KCB  kutoa huduma nzuri na bora kwa wakazi wa Mbagala, na ikiwezekana kuwapa punguzo la riba na masharti nafuu katika mikopo ili kuweza kupata wateja wengi zaidi.


Ameyasema hayo mapema wakati akifungua zoezi la usafi katika wilaya hiyo lililofanywa na benki ya KCB maeneo ya Mbagala Zakhiem, na kuwaomba watoe mikopo ya riba nafuu katika eneo hilo kwa kuwa lina wafanyabiashara wengi na wadogo wakiwa wanahitaji kupewa nguvu ili waweze kufikia malengo yao.



Lyaniva ambaye alikuwa Mgeni Rasmi, aliipongeza Benki ya KCB kwa juhudi na kufanikisha kuwaleta wadau mbali mbali pamoja na wananchi wa Mbagala kushiriki katika kufanya usafi. “Mlichokifanikisha leo si kidogo na ninawapongeza lakini pia iwe chachu ya kutaka kufanya zaidi katika jamii yenu, ni mfano mzuri wa kuigwa hata na makampui mengine.” aliongeza DC Lyaniva.

Aliendelea kusema kuwa anafurahia kuona wawekezaji wengi wanaendelea kuwekeza katika wilaya ya Temeke kwani anategemea ubora wa huduma kwa wananchi wake, lakini pia watamsaidia katika shughuli nyingi za kijamii ikiwemo kujenga Madarasa, Zahanati na hata huduma za usafi katika maeneo hayo kwani ndio malengo ya serikali ya awamu ya tano.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke  Mh. Felix Lyaniva  akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya KCB Zuhura Muro(kulia)  wakifanya usafi na pamoja kwa ajili ya kuweka mazingira safi na salama Mbagala Zakhiem Jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi wa  Benki ya KCB, wafanyabiashara wadogo wadogo, kampuni ya Green Waste wakiendelea na usafi Mbagala Zakhiem kwa ajili ya kuweka mazingira safi na salama.
Picha ya Pamoja


Hivyo makala MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AUNGANA NA BENKI YA KCB KUFANYA USAFI MBAGALA ZAKHIEM

yaani makala yote MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AUNGANA NA BENKI YA KCB KUFANYA USAFI MBAGALA ZAKHIEM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AUNGANA NA BENKI YA KCB KUFANYA USAFI MBAGALA ZAKHIEM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mkuu-wa-wilaya-ya-temeke-aungana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AUNGANA NA BENKI YA KCB KUFANYA USAFI MBAGALA ZAKHIEM"

Post a Comment