- Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa , tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title :
kiungo :

soma pia


CANAVARO KUAGWA ZANZIBAR KWA MECHI YA KIRAFIKI

Timu ya Yanga inatarajia kucheza mechi nyingine maalumu ya kumuaga aliyekuwa nahodha wake, Nadir Haroub Ally Upapa ambaye sasa ni Meneja wa klabu hiyo.

Mechi hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar Jumamosi ya Oktoba 13 mwaka huu saa 10:00 jioni dhidi ya Mabingwa wa zamani wa Zanzibar na Tanzania, Malindi FC.

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Omary Kaaya amesema msafara wa Yanga utaondoka kesho asubuhi na mchezo huo utakaokuwa mbashara Azam Sports 2 utatumika pia kujiandaa na mechi zijazo za Ligi Kuu Soka Tanzania Bara.

Naye Nadir Haroub ambaye pia ni nahodha wa zamani wa timu ya Taifa ya Zanzibar, (Zanzibar Heroes), amesema ni jambo la heshima kupata mechi hiyo kwenye ardhi ya nyumbani kwao.


Hivyo makala

yaani makala yote Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/canavaro-kuagwa-zanzibar-kwa-mechi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to " "

Post a Comment