title : MKUU wa Dar es Salaam Paul Makonda ametoa mwezi mmoja kwa kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kukamilisha miradi ya ujenzi ya DMDP
kiungo : MKUU wa Dar es Salaam Paul Makonda ametoa mwezi mmoja kwa kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kukamilisha miradi ya ujenzi ya DMDP
MKUU wa Dar es Salaam Paul Makonda ametoa mwezi mmoja kwa kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kukamilisha miradi ya ujenzi ya DMDP
Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya agizo la mwezi mmoja kwa kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kukamilisha miradi ya ujenzi barabara ya Chang`ombe wilayani Temeke na kwamba ikishindwa kutekeleza agizo la serikali itasitsha mkataba na haitapewa tenda tena katika Mkoa Dar es Saĺaam.
Mkuu wakoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akiwa ameambatana na mkuu wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva,Mkurugenzi wa wilaya ya Temeke,Lusubilo Mwakabibi pamoja na Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji wa Maji wa DAWASA, Mhadisi Aaron Joseph wakikangua mira mbalimbali inayojengwa na DMDP leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji wa Maji wa DAWASA, Mhandisi Aaron Joseph akifafanua kambo mbele ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda katika ziara ya kukangua miradi mbalimbali inayojengwa na DMDP leo katika ziara ya kukangua miradi ya mbalimbali wilaya ya Temeke.
Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi barabara
Ukaguzi wa daraja
(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii)
(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii)
Hivyo makala MKUU wa Dar es Salaam Paul Makonda ametoa mwezi mmoja kwa kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kukamilisha miradi ya ujenzi ya DMDP
yaani makala yote MKUU wa Dar es Salaam Paul Makonda ametoa mwezi mmoja kwa kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kukamilisha miradi ya ujenzi ya DMDP Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU wa Dar es Salaam Paul Makonda ametoa mwezi mmoja kwa kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kukamilisha miradi ya ujenzi ya DMDP mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mkuu-wa-dar-es-salaam-paul-makonda.html
0 Response to "MKUU wa Dar es Salaam Paul Makonda ametoa mwezi mmoja kwa kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kukamilisha miradi ya ujenzi ya DMDP"
Post a Comment