MIILI ILIYOPATIKANA KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV.NYERERE SASA YAFIKIA 224

MIILI ILIYOPATIKANA KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV.NYERERE SASA YAFIKIA 224 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MIILI ILIYOPATIKANA KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV.NYERERE SASA YAFIKIA 224, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MIILI ILIYOPATIKANA KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV.NYERERE SASA YAFIKIA 224
kiungo : MIILI ILIYOPATIKANA KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV.NYERERE SASA YAFIKIA 224

soma pia


MIILI ILIYOPATIKANA KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV.NYERERE SASA YAFIKIA 224

*Waziri asema uwezo wa kivuko ilikuwa kubeba watu 101 lakini siku ya tukio kilibeba watu 265

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii

WAZIRI wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwelwe amesema hadi sasa idadi ya miili ya watu waliokufa kutokana na kuzama kwa kivuko cha MV.Nyerere imefikia 224.

Pia amesema uwezo wa kivuko hicho ni kubeba watu 101 lakini kimebainika kuwa watu ambao walikuwa kwenye kivuko hicho walikuwa 265 ambayo ni kubwa ukilinganisha na uwezo wa kivuko hicho.

Waziri Kamwelwe amesema hayo leo mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa maziko ya miili tisa ambayo imezikwa na Serikali kati ya miili 224 iliyopatikana baada ya tukio hilo.Amefafanua kati ya miili hiyo 224 ambayo imepatikana wanawake ni 126,wanaume 71.Pia watoto wa kike ni 17 na watoto wa kiume ni 10

Pia amesema miili ambayo imetambuliwa ni waliotambuliwa ni 219 na wote wamechukuliwa na ndugu na miili ambayo bado haijatambuliwa ni watu wanne ambao hao watazikwa na Serikali leo.Ameongeza kuna miili ya watu watano ambayo hiyo itazikwa pamoja na miili ya watu wanne na kufanya jumla ya miili ambayo itazikwa leo ni tisa.

Waziri Kamwelwe amesema miili ambayo haijatambuliwa imechukuliwa DNA na kisha kukabidhiwa kwa ndugu au vyovyote itakavyoamriwa.

Wakati huo huo amesema kwamba baada ya kutokea kwa tukio hilo watanzania wote wamonesha ushirikiano mkubwa na kwamba michango ambayo imepatikana ni Sh.Milioni 190 na tayari wamefungua akaunti maalum ya maafa inayofahamika Mv.Nyerere.
Baadhi ya Masanduku yenye miili ya Marehemu waliofariki kufuatia kivuko  cha MV Nyerere kupinduka na kuzama


Hivyo makala MIILI ILIYOPATIKANA KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV.NYERERE SASA YAFIKIA 224

yaani makala yote MIILI ILIYOPATIKANA KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV.NYERERE SASA YAFIKIA 224 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MIILI ILIYOPATIKANA KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV.NYERERE SASA YAFIKIA 224 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/miili-iliyopatikana-kuzama-kwa-kivuko.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MIILI ILIYOPATIKANA KUZAMA KWA KIVUKO CHA MV.NYERERE SASA YAFIKIA 224"

Post a Comment