MIAKA MITATU YA JPM IMEONGEZA ARI YA KUFANYA KAZI-MAJALIWA

MIAKA MITATU YA JPM IMEONGEZA ARI YA KUFANYA KAZI-MAJALIWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MIAKA MITATU YA JPM IMEONGEZA ARI YA KUFANYA KAZI-MAJALIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MIAKA MITATU YA JPM IMEONGEZA ARI YA KUFANYA KAZI-MAJALIWA
kiungo : MIAKA MITATU YA JPM IMEONGEZA ARI YA KUFANYA KAZI-MAJALIWA

soma pia


MIAKA MITATU YA JPM IMEONGEZA ARI YA KUFANYA KAZI-MAJALIWA

*Ameimarisha nidhamu, uadilifu kwenye utumishi wa umma

*Ameboresha miundombinu ya reli, barabara, nishati, elimu na afya

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. John Magufuli katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wake, amefanikiwa kuimarisha nidhamu, uadilifu na uwajibikaji ndani ya utumishi wa umma pamoja, kukemea uzembe na kujenga ari ya kufanya kazi.

Mafanikio mengine ni ununuzi wa meli katika ziwa Nyasa, Tanganyika na Victoria pamoja na kufufua Shirika la Ndege la Tanzania ili kuimarisha usafiri wa anga na kukuza sekta mtambuka zikiwemo za utalii, afya, kilimo na kujenga reli ya kiwango cha kimataifa (SGR).

Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Ijumaa, Septemba 14, 2018) wakati akiahirisha mkutano wa 12 wa Bunge, Bungeni jijini Dodoma. Bunge limeahirishwa hadi Novema 6, 2018.

Amesema mafanikio mengine yaliyofikiwa katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Dkt. Magufuli ni kuendesha vita dhidi ya rushwa na ufisadi kwenye taasisi za umma sambamba na kuanzisha Mahakama ya Mafisadi na kuimarisha ulinzi wa rasilimali za nchi ikiwemo madini na maliasili.

“Kujenga vyanzo vipya vya umeme kama vile mradi wa kuzalisha umeme wa maji megawati 2,100 katika bonde la mto Rufiji (Stiegler’s Gorge), kusambaza umeme hadi vijijini sambamba na kuongeza kasi ya utekelezaji wa  miradi ya awamu ya tatu ya mpango wa REA ujenzi wa mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania).”

Waziri Mkuu amesema Rais Dkt. Magufuli ameimarisha huduma za afya hususan upatikanaji wa dawa, vifaatiba katika vituo vya kutolea huduma za afya pamoja na ujenzi wa vituo vya afya na hospitali za wilaya na utoaji Elimumsingi Bila Malipo kwa watoto wa Kitanzania.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Kumi na Mbili  wa Bunge jijini Dodoma, Septemba 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge jijini Dodoma Septemba 14, 2018. 

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MIAKA MITATU YA JPM IMEONGEZA ARI YA KUFANYA KAZI-MAJALIWA

yaani makala yote MIAKA MITATU YA JPM IMEONGEZA ARI YA KUFANYA KAZI-MAJALIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MIAKA MITATU YA JPM IMEONGEZA ARI YA KUFANYA KAZI-MAJALIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/miaka-mitatu-ya-jpm-imeongeza-ari-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MIAKA MITATU YA JPM IMEONGEZA ARI YA KUFANYA KAZI-MAJALIWA"

Post a Comment