DKT. KIJAJI - UWEKEZAJI WA MSHAHARA NI JUKUMU LA MFANYAKAZI

DKT. KIJAJI - UWEKEZAJI WA MSHAHARA NI JUKUMU LA MFANYAKAZI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. KIJAJI - UWEKEZAJI WA MSHAHARA NI JUKUMU LA MFANYAKAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. KIJAJI - UWEKEZAJI WA MSHAHARA NI JUKUMU LA MFANYAKAZI
kiungo : DKT. KIJAJI - UWEKEZAJI WA MSHAHARA NI JUKUMU LA MFANYAKAZI

soma pia


DKT. KIJAJI - UWEKEZAJI WA MSHAHARA NI JUKUMU LA MFANYAKAZI

Na. WFM
Serikali imeeleza kuwa uwekezaji wa mishahara kwa wafanyakazi nchini ni jukumu la mfanyakazi mwenyewe kwa kuwa mshahara ni mali ya mfanyakazi hivyo anaweza kuutumia kwa kuwekeza au kuto kuwekeza.

Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu maswali ya Mbunge wa Viti maalum Mhe. Mwantum Dau Haji, aliyetaka kujua Serikali inasema nini kuhusu uwekezaji wa mishahara kwa watumishi wa umma na kuwepo kwa ucheleweshaji wa mishahara kwa Watumishi wa Umma..

Dkt. Kijaji alieleza kuwa Serikali kwa upande wake inawalipa mishahara wafanyakazi wake kwa wakati kwa kuzingatia waraka wa Hazina namba 12 wa mwaka 2004 ambao unaitaka Serikali kulipa mishahara kabla ya tarehe 25 ya kila mwezi.

“Kumbukumbu za malipo ya mishahara kwa watumishi wa umma zinaonesha kuwa, kuanzia Julai 2017 hadi Agosti 2018, watumishi walilipwa mishahara yao kati ya tarehe 20 na 24 ya kila mwezi hivyo napenda kuliarifu Bunge lako Tukufu na umma kwa ujumla kuwa hakuna ucheleweshaji wa malipo ya mishahara kwa watumishi wa umma” alieleza Dkt. Kijaji.

Aidha Serikali imekuwa ikiwatendea haki wafanyakazi wake katika upandishaji wa madaraja na kila mwaka wafanyakazi hupandishwa madaraja.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)


Hivyo makala DKT. KIJAJI - UWEKEZAJI WA MSHAHARA NI JUKUMU LA MFANYAKAZI

yaani makala yote DKT. KIJAJI - UWEKEZAJI WA MSHAHARA NI JUKUMU LA MFANYAKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. KIJAJI - UWEKEZAJI WA MSHAHARA NI JUKUMU LA MFANYAKAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/dkt-kijaji-uwekezaji-wa-mshahara-ni.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DKT. KIJAJI - UWEKEZAJI WA MSHAHARA NI JUKUMU LA MFANYAKAZI"

Post a Comment