MARUFUKU MGAMBO KUNYANYASA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO - DC ARUMERU

MARUFUKU MGAMBO KUNYANYASA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO - DC ARUMERU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MARUFUKU MGAMBO KUNYANYASA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO - DC ARUMERU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MARUFUKU MGAMBO KUNYANYASA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO - DC ARUMERU
kiungo : MARUFUKU MGAMBO KUNYANYASA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO - DC ARUMERU

soma pia


MARUFUKU MGAMBO KUNYANYASA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO - DC ARUMERU

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe Jerry Muro amewaondoa Askari wa Jeshi la Akiba (MGAMBO) Waliokuwa katika Soko la Tengeru kutokana na Mgambo hao kutuhumiwa Kunyanyasa Wafanyabiashara Ndogo Ndogo wakiwemo kina Mama wanaouza bidhaa mbalimbali Sokoni Hapo.

Dc Muro ambae alifanya Ziara ya Kustukiza Sokoni Hapo amesikiliza Kero mbalimbali zikiwemo za Kuporwa bidhaa zao na kuvunjiwa mbao wanazotumia kupanga bidhaa zao jambo linalowapa wakati mgumu wa kufanya biashara zao ambazo wamekuwa wakizitumia kuongeza Vipato na kuhudumia Familia zao.

Kutokana na Malalamiko Hayo DC Muro amelazimika kuwaondoa Mgambo hao kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili, na Kumwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru Ndugu Emmanuel Mkongo kupeleka Mgambo wengine mpaka hapo watakapomaliza Uchunguzi wa tuhuma Zao.

Katika Ziara hiyo pia Dc Muro amewataka kina Mama kuendelea kupanga bidhaa zao pembeni ya Soko kutokana na Miundombinu ya Soko kutomudu idadi Kubwa ya wafanyabiashara kwa wakati Mmoja jambo ambalo linasababisha Wafanyabiashara wengine kufanyiwa biashara zao kienyeji na kupelekea Halmashauri kukosa Mapato jambo lilionekana kumkera sana Dc Muro na kutoa maelekezo kwa wafanyabiashara hao kupanga biashara zao pembeni ya soko ili Halmashauri iweze kukusanya mapato yake ipasavyo. 

Soko la Tengeru linahudumia zaidi ya Wananchi elfu kumi na mbili kwa siku na kimekuwa sehemu ya chanzo kikuu cha Mapato ya Ndani kwa Halmashauri ya Wilaya Ya Meru.

Kwa upande wao Makundi ya wafanyabiashara ndogo ndogo mbali na kumshukuru Dc Muro kwa kuwaondolea kero hizo wamempongeza Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli kwa kumteu Dc Muro kuwa Mkuu wa Wilaya ya Arumeru ambae ameendelea kugusa kero za Makundi mbalimbali ya Kijamii.


Hivyo makala MARUFUKU MGAMBO KUNYANYASA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO - DC ARUMERU

yaani makala yote MARUFUKU MGAMBO KUNYANYASA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO - DC ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MARUFUKU MGAMBO KUNYANYASA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO - DC ARUMERU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/marufuku-mgambo-kunyanyasa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MARUFUKU MGAMBO KUNYANYASA WAFANYABIASHARA NDOGO NDOGO - DC ARUMERU"

Post a Comment