MAKONTENA YA RC MAKONDA YAANZA KUPIGWA MNADA BANDARINI DAR

MAKONTENA YA RC MAKONDA YAANZA KUPIGWA MNADA BANDARINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKONTENA YA RC MAKONDA YAANZA KUPIGWA MNADA BANDARINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKONTENA YA RC MAKONDA YAANZA KUPIGWA MNADA BANDARINI DAR
kiungo : MAKONTENA YA RC MAKONDA YAANZA KUPIGWA MNADA BANDARINI DAR

soma pia


MAKONTENA YA RC MAKONDA YAANZA KUPIGWA MNADA BANDARINI DAR

Na Ripota Wetu, Globu ya jamii

MAKONTENA ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ambayo yamebeba samani za walimu yameanza kupigwa mnada.

Hatua ya kupiga mnada makontena hayo inakuja baada ya Rais Dk.John Magufuli kutoa maagizo ya kuhakikisha yanalipiwa kodi na ikishindikana yapigwe mnada.

 Rais Dk.Magufuli alitoa kauli hiyo juzi akiwa mkoani Chato na sababu za kutoa ufafanuzi na maelekezo hayo baada ya kuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam analazimisha makontena hayo yatolewe bila kulipiwa kodi.

Hivyo leo makontena hayo yameanza kupigwa mnada kuanzia saa tatu ya asubuhi na unafanyika bandari ya Dar es Salaam upande wa Malawi Cargo.

Mnada huo tangu ulipoanza asubuhi unaendelea kufanyika hadi sasa.

Katika mnada huo wananchi, taasisi,mashirika na  baadhi ya viongozi wa Serikali wamejitokeza kwa lengo la nununua samani zilizopo kwenye makontena hayo.


Hivyo makala MAKONTENA YA RC MAKONDA YAANZA KUPIGWA MNADA BANDARINI DAR

yaani makala yote MAKONTENA YA RC MAKONDA YAANZA KUPIGWA MNADA BANDARINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKONTENA YA RC MAKONDA YAANZA KUPIGWA MNADA BANDARINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/makontena-ya-rc-makonda-yaanza-kupigwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKONTENA YA RC MAKONDA YAANZA KUPIGWA MNADA BANDARINI DAR"

Post a Comment