Kikao cha tathmini za Mafanikio na Changamoto kwa waandishi wa habari wa Serikali Pemba

Kikao cha tathmini za Mafanikio na Changamoto kwa waandishi wa habari wa Serikali Pemba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kikao cha tathmini za Mafanikio na Changamoto kwa waandishi wa habari wa Serikali Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kikao cha tathmini za Mafanikio na Changamoto kwa waandishi wa habari wa Serikali Pemba
kiungo : Kikao cha tathmini za Mafanikio na Changamoto kwa waandishi wa habari wa Serikali Pemba

soma pia


Kikao cha tathmini za Mafanikio na Changamoto kwa waandishi wa habari wa Serikali Pemba

 WAANDISHI wa Habari  wa Vyombo mbali mbali vya habari vya Serikali Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini Afisa Mdhamini Wizara ya Habari, Utalii na Mambo ya Kale Pemba, Khatib Juma Mjaja wakati wa Kikao cha pamoja cha kutathmini mafanikio na changamoto zao katika utendaji wa kazi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 ANDISHI wa Habari Mwandamizi Kutoka Idara ya Habari Maelezo Pemba Mohamed Khalfan Ali, akisoma gazeti la Zanzibarleo wakati wa kikao cha pamoja na Mdhamini Wizara ya habari Pemba, juu ya kutathmini Changamoto na Mafanikio kwa waandishi wa habari wa vyombo vya Serikali.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 MKUU wa Idara ya Habari Maelezo Pemba Jamila Abdalla Salim, akiwakaribisha waandishi wa habari katika kikao cha Pamoja na Afisa mdhamini wa Wizara ya Habari Pemba, Khatib Juma Mjaja kikao cha kutathmini Mafanikio na Changamoto kwa waandishi wa habari wa Serikali .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 AFISA Mdhamini Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Pemba Khatib Juma Mjaja, akizungumza na waandishi wa habari wa Vyombo vya Serikali juu ya kutathmini Changamoto na Mafanikio katika utendaji wao wa kazi..(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya Kale Pemba Khatib Juma Mjaja, akisoma baadhi ya vipengele vilivyomo ndani ya Mkataba wa utoaji wa huduma kwa uuma, kwa waandishi wa habari wa Vyombo vya Serikali juu ya kutathmini Changamoto na Mafanikio katika utendaji wao wa kazi..(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)  


Hivyo makala Kikao cha tathmini za Mafanikio na Changamoto kwa waandishi wa habari wa Serikali Pemba

yaani makala yote Kikao cha tathmini za Mafanikio na Changamoto kwa waandishi wa habari wa Serikali Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kikao cha tathmini za Mafanikio na Changamoto kwa waandishi wa habari wa Serikali Pemba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kikao-cha-tathmini-za-mafanikio-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Kikao cha tathmini za Mafanikio na Changamoto kwa waandishi wa habari wa Serikali Pemba"

Post a Comment