MAKAMU WA RAIS AMALIZIA ZIARA YAKE WILAYA YA BUHIGWE MKOANI KIGOMA

MAKAMU WA RAIS AMALIZIA ZIARA YAKE WILAYA YA BUHIGWE MKOANI KIGOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AMALIZIA ZIARA YAKE WILAYA YA BUHIGWE MKOANI KIGOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AMALIZIA ZIARA YAKE WILAYA YA BUHIGWE MKOANI KIGOMA
kiungo : MAKAMU WA RAIS AMALIZIA ZIARA YAKE WILAYA YA BUHIGWE MKOANI KIGOMA

soma pia


MAKAMU WA RAIS AMALIZIA ZIARA YAKE WILAYA YA BUHIGWE MKOANI KIGOMA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiuandaa mti kabla ya kuupanda kwenye shamba la miti la Buhigwe, kushoto anayemsaidia Makamu wa Rais ni Meneja Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) Kanda ya Magharibi Bw. Valentine Msusa
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka udongo kwenye mti wa kumbukumbu alioupanda kwenye shamba la miti la Buhigwe katika kijiji cha Munzenze wilaya Buhigwe mkoani Kigoma.
  Sehemu ya miche laki mbili na nusu iliyopandwa kwenye shamba la miti Buhigwe mkoani Kigoma.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wananchi wanaoishi jirani na  shamba la miti la Buhigwe katika kijiji cha Munzenze wilaya Buhigwe mkoani Kigoma.
 : Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako pamoja na Mbunge wa Jimbo la Buhigwe Mhe. Albert Obama wakati wa mkutano wa hadhara katika kijiji cha Munzenze, Buhigwe mkoani Kigoma.
  Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubiwa wananchi katika kijiji cha Munzenze, Buhigwe mkoani Kigoma.

Sehemu ya Wakazi wa kijiji cha Munzenze waliojitokeza kumsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AMALIZIA ZIARA YAKE WILAYA YA BUHIGWE MKOANI KIGOMA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AMALIZIA ZIARA YAKE WILAYA YA BUHIGWE MKOANI KIGOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AMALIZIA ZIARA YAKE WILAYA YA BUHIGWE MKOANI KIGOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/makamu-wa-rais-amalizia-ziara-yake.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AMALIZIA ZIARA YAKE WILAYA YA BUHIGWE MKOANI KIGOMA"

Post a Comment