SHIRIKA LA EMPOWER SOCIETY TRANSFORMM LIVES LATOA ELIMU JUU YA MADHARA YA UKEKETAJI SINGIDA

SHIRIKA LA EMPOWER SOCIETY TRANSFORMM LIVES LATOA ELIMU JUU YA MADHARA YA UKEKETAJI SINGIDA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA EMPOWER SOCIETY TRANSFORMM LIVES LATOA ELIMU JUU YA MADHARA YA UKEKETAJI SINGIDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA EMPOWER SOCIETY TRANSFORMM LIVES LATOA ELIMU JUU YA MADHARA YA UKEKETAJI SINGIDA
kiungo : SHIRIKA LA EMPOWER SOCIETY TRANSFORMM LIVES LATOA ELIMU JUU YA MADHARA YA UKEKETAJI SINGIDA

soma pia


SHIRIKA LA EMPOWER SOCIETY TRANSFORMM LIVES LATOA ELIMU JUU YA MADHARA YA UKEKETAJI SINGIDA

Shirika lisilokuwa la kiserikali la Empower Society Transform Lives (ESTL) la Mkoani Singida limesema kwamba ukeketaji wa wanawake na watoto ni tatizo kubwa Afrika,Tanzania ikiwa ni miongoni mwa nchi 28 zinazotajwa kuendeleza mila hiyo mbaya.

Hayo yalisemwa na Mtendaji Mkuu wa Shirika hilo Mkoani Singida,Joshua Ntandu kwenye risala aliyosoma wakati wa uzinduzi wa mradi wa kutokomeza ukeketaji katika vijiji 14 vilivyopo katika kata za Itaja,Mgori,Ntonge na Ughandi,uliofadhiliwa na The Foundation For Civil Society na kufanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya wilaya ya Singida.

Aidha Ntandu alifafanua kwamba inakadiriwa kuwa Tanzania ina zaidi ya wanawake milioni 7.9 waliogundulika kuwa wamekeketwa huku Mkoa wa Singida ukishika nafasi tano za juu za mikoa inayoongoza kwa ukeketaji hapa nchini.

Alisema tafiti zinaonyesha pia kwamba vitendo hivyo vinaendelea kuongezeka katika Mkoa wa Singida na sababu kubwa zinazotajwa ni pamoja na imani kwamba ukeketaji ni sehemu ya makuzi ya mtoto wa kike na kwamba humzuia mtoto wa kike asiingie katika mahusiano ya mapenzi kabla ya kuolewa.
Mwenyekiti wa Bodi ya ESTL,Bi Rose Mjema akiwasilisha mada kwa washiriki wa mafunzo ya kupinga vitendo vya ukeketaji huku akitoa tahadhari juu ya madhara yatokanayo na vitendo hivyo vya ukeketaji.(Picha zote Na Jumbe Ismailly).
Baadhi ya Mangariba na wakunga wa jadi kutoka katika Tarafa ya Mgori, wilayani Singida ambao wameamua kuachana na shughuli za kukeketa baada ya kupatiwa elimu na Shirika lisilokuwa la kiserikali la ESTL la Mkoani Singida,wakitoa ushuhuda kwenye uzinduzi wa mradi wa kutokomeza ukeketaji kwa wanawake katika Mkoa wa Singida uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya wilaya ya Singida.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala SHIRIKA LA EMPOWER SOCIETY TRANSFORMM LIVES LATOA ELIMU JUU YA MADHARA YA UKEKETAJI SINGIDA

yaani makala yote SHIRIKA LA EMPOWER SOCIETY TRANSFORMM LIVES LATOA ELIMU JUU YA MADHARA YA UKEKETAJI SINGIDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA EMPOWER SOCIETY TRANSFORMM LIVES LATOA ELIMU JUU YA MADHARA YA UKEKETAJI SINGIDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/shirika-la-empower-society-transformm_17.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIRIKA LA EMPOWER SOCIETY TRANSFORMM LIVES LATOA ELIMU JUU YA MADHARA YA UKEKETAJI SINGIDA"

Post a Comment