title : Taasisi ya The Desk & Chair Foundation yatoa msaada wa madawati 60 na miche 630 ya miti kwa Shule ya Msingi Mabatini A wilayani Nyamagana, Mwanza
kiungo : Taasisi ya The Desk & Chair Foundation yatoa msaada wa madawati 60 na miche 630 ya miti kwa Shule ya Msingi Mabatini A wilayani Nyamagana, Mwanza
Taasisi ya The Desk & Chair Foundation yatoa msaada wa madawati 60 na miche 630 ya miti kwa Shule ya Msingi Mabatini A wilayani Nyamagana, Mwanza
Mwenyekiti wa The Desk & Chair Sibtain Megjee akizungumza na walimu (hawapo pichani) pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mabatini A iliyopo Wilaya ya Nyamagana kabla ya kuwakabidhi msaada wa madawati 60 na miche 630 ya miti jana. Msaada huo umetolewa na taasisi hiyo ikishirikiana na Welfare Aid International ya Australia.
Mwenyekiti wa Taasisi ya The Desk & Chair Foundation Sibtain Meghjee amkimpa mkono Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mabatini A Bryson Kamonge ikiwa ni ishara ya kumkabidhi madawati 60 yalitolewa na taasisi hiyo ikishirikiana na Welfare Aid International ya Australia jana.
Na Baltazar Mashaka
Mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi madawati na miche ya miti kwa Shule ya Msingi Mabatini A katika Wilaya ya Nyamagana Dk. Swalehe Maulid akimkabidhi miche ya miti Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Bryson Kamonge (katikati).
Mmoja wa wafadhili wa visima vya maji Ali Hamdani akizungusha mkono wa pampu ya kuvuta maji kwenye kisima alichofadhili katika Kijiji cha Ikengele wilayani Magu. Anayeshuhudia kushoto ni Mwenyekiti wa The Desk & Chair Foundation Sibtain Meghjee.
Hivyo makala Taasisi ya The Desk & Chair Foundation yatoa msaada wa madawati 60 na miche 630 ya miti kwa Shule ya Msingi Mabatini A wilayani Nyamagana, Mwanza
yaani makala yote Taasisi ya The Desk & Chair Foundation yatoa msaada wa madawati 60 na miche 630 ya miti kwa Shule ya Msingi Mabatini A wilayani Nyamagana, Mwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya The Desk & Chair Foundation yatoa msaada wa madawati 60 na miche 630 ya miti kwa Shule ya Msingi Mabatini A wilayani Nyamagana, Mwanza mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/taasisi-ya-desk-chair-foundation-yatoa.html
0 Response to "Taasisi ya The Desk & Chair Foundation yatoa msaada wa madawati 60 na miche 630 ya miti kwa Shule ya Msingi Mabatini A wilayani Nyamagana, Mwanza"
Post a Comment