Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wafanya upasuaji wa kufungua kifua na bila kufungua kifua kwa watoto 23

Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wafanya upasuaji wa kufungua kifua na bila kufungua kifua kwa watoto 23 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wafanya upasuaji wa kufungua kifua na bila kufungua kifua kwa watoto 23, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wafanya upasuaji wa kufungua kifua na bila kufungua kifua kwa watoto 23
kiungo : Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wafanya upasuaji wa kufungua kifua na bila kufungua kifua kwa watoto 23

soma pia


Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wafanya upasuaji wa kufungua kifua na bila kufungua kifua kwa watoto 23

Mwambawahabari 
 Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wakimfanyia mtoto upasuaji wa kuziba tundu kwenye moyo kwa kutumia mtambo wa Cathlab wakati wa kambi maalum ya matibabu ya siku tatu iliyomalizika jana. Upasuaji huo hufanyika bila kufungua kifua kwa kupitia tundu dogo linalotobolewa kwenye paja. Jumla ya watoto 14 wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa upasuaji wa kuziba matundu na kutanua mishipa ambayo haipitishi damu vizuri na hali zao zinaendelea vizuri.
 Madaktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wakimfanya mtoto upasuaji wa kuziba tundu kwenye moyo wakati wa kambi maalum ya siku tano  ya matibabu ya moyo kwa watoto inayoendelea  katika Taasisi hiyo. Jumla ya watoto tisa wamefanyiwa upasuaji na hali zao zinaendelea vizuri.

Picha na Genofeva Matemu – JKCI


Hivyo makala Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wafanya upasuaji wa kufungua kifua na bila kufungua kifua kwa watoto 23

yaani makala yote Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wafanya upasuaji wa kufungua kifua na bila kufungua kifua kwa watoto 23 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wafanya upasuaji wa kufungua kifua na bila kufungua kifua kwa watoto 23 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/madaktari-bingwa-wa-magonjwa-ya-moyo_27.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Shirika la Kimataifa la Mending Kids la nchini Marekani wafanya upasuaji wa kufungua kifua na bila kufungua kifua kwa watoto 23"

Post a Comment