VYOMBO WA ULINZI NA USALAMA MKOANI VYATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKIANO

VYOMBO WA ULINZI NA USALAMA MKOANI VYATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKIANO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VYOMBO WA ULINZI NA USALAMA MKOANI VYATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKIANO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VYOMBO WA ULINZI NA USALAMA MKOANI VYATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKIANO
kiungo : VYOMBO WA ULINZI NA USALAMA MKOANI VYATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKIANO

soma pia


VYOMBO WA ULINZI NA USALAMA MKOANI VYATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKIANO

Na Tiganya Vicent
JESHI la Wananchi Tanzania (JWTZ) limetoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Tabora kufanyakazi kwa ushirikiano na uzalendo ili kuimarisha ulinzi wa eneo lao na nchi kwa ujumla.

Kauli hiyo imetolewa jana na Mkuu wa Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi Meja Jenerali Sharif Othman wakati akizungumza na Wajumbe wa Kamati za Ulinzi na Usalama za Mkoa wa Tabora na zile za Wilaya zake wakati ziara yake ya kikazi mkoani humo.

Alisema ushirikiano utawasaidia kuwafanya kuwa kitu kimoja na kuwa nguvu ya pamoja katika kuhakikisha usalama na ulinzi wa wananchi na nchi kwa ujumla.

Meja Jenerali Othman alisema viongozi wa vyombo hivyo wanapaswa kujenga tabia ya kutembelea na kushirikiana katika shughuli mbalimbali kama vile michezo na sherehe kama sehemu ya kujenga mshikamano ambao ndio utawasaidia kuwa kitu kimoja katika ulinzi wa nchi.

Alisema hali hiyo itawasaidia kupeana taarifa kama kutakuwepo na jambo ambalo linahatarisha usalama wa nchi na hivyo kuchukua hatua za pamoja na haraka katika kulikabili.

“Sisi tuwe mashine ya kuwezesha usalama wa raia nan chi kwa kupeana taarifa na kushirikiana” alisema.

Mkuu huyo wa Kamandi ya Vikosi chini ya Makao Makuu ya Jeshi aliongeza kuwa sio vema kugonja tatizo litolekee ndio taarifa itolewe bali taarifa inapaswa kutolewa mapema ili kuzuia tatizo.

Aidha Meja Jenerali huyo alitoa wito kwa wananchi kuwa karibu na majeshi yao kwa kutoa taarifa zote ambazo zinahatarisha usalama wa nchi ili kama kuna wahusika waweze kuchukuliwa hatua mapema kwa usalama wao na nchi kwa ujumla.


Hivyo makala VYOMBO WA ULINZI NA USALAMA MKOANI VYATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKIANO

yaani makala yote VYOMBO WA ULINZI NA USALAMA MKOANI VYATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKIANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VYOMBO WA ULINZI NA USALAMA MKOANI VYATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKIANO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/vyombo-wa-ulinzi-na-usalama-mkoani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "VYOMBO WA ULINZI NA USALAMA MKOANI VYATAKIWA KUENDELEZA USHIRIKIANO"

Post a Comment