KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, ALA KIAPO CHA UJUMBE TUME YA UTUMISHI, JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, ALA KIAPO CHA UJUMBE TUME YA UTUMISHI, JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, ALA KIAPO CHA UJUMBE TUME YA UTUMISHI, JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, ALA KIAPO CHA UJUMBE TUME YA UTUMISHI, JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI
kiungo : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, ALA KIAPO CHA UJUMBE TUME YA UTUMISHI, JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI

soma pia


KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, ALA KIAPO CHA UJUMBE TUME YA UTUMISHI, JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI

Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akila kiapo cha uadilifu mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Dkt. Eliezer Feleshi kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi kwa Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, pamoja na Uhamiaji. Kiapo hicho kilifanyika katika Ofisi za Mahaka Kuu ya Tanzania, leo Septemba 4, 2018 jijini Dar es Salaam.
Kamishna wa Jeshi la Magereza, Uwesu Ngarama akila kiapo cha uadilifu mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Dkt. Eliezer Feleshi kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi kwa Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, pamoja na Uhamiaji.
Jaji Kiongozi, Dkt. Eliezer Feleshi wa Mahakama Kuu ya Tanzania (meza kuu) akifanya mazunguzo na Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(kulia) baada ya kula kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi kwa Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Uhamiaji.
Jaji Kiongozi, Dkt. Eliezer Feleshi wa Mahakama Kuu ya Tanzania(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(kushoto) mara baada ya kula kiapo cha kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi kwa Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Uhamiaji. Kulia ni Kamishna wa Jeshi la Magereza, Uwesu Ngarama. (Picha na Jeshi la Magereza).


Hivyo makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, ALA KIAPO CHA UJUMBE TUME YA UTUMISHI, JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI

yaani makala yote KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, ALA KIAPO CHA UJUMBE TUME YA UTUMISHI, JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, ALA KIAPO CHA UJUMBE TUME YA UTUMISHI, JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kamishna-jenerali-wa-magereza-ala-kiapo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, ALA KIAPO CHA UJUMBE TUME YA UTUMISHI, JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI"

Post a Comment