Idadi ya Waliofariki MV Nyerere Yafika 100

Idadi ya Waliofariki MV Nyerere Yafika 100 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Idadi ya Waliofariki MV Nyerere Yafika 100, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Idadi ya Waliofariki MV Nyerere Yafika 100
kiungo : Idadi ya Waliofariki MV Nyerere Yafika 100

soma pia


Idadi ya Waliofariki MV Nyerere Yafika 100

 

Zoezi  la ukoaji wa miili ya watu waliopoteza maisha katika Kivuko cha MV Nyerere bado linaendelea  ambapo Vikosi Maalum vya uokoaji vya Jeshi la Polisi na Jeshi la Wananchi wa Watanzania (JWTZ) na Jeshi la Zimamoto na uokoaji vinaendesha zoezi hilo.

Idadi ya walipoteza maisha imefikia 100 hadi kufikia saa sita na nusu mchana huu. Kwa mujibu wa DC wa Ukerewe, kivuko hicho kilikuwa na uwezo wa kubeba abiria 100 na tani 25 za mizigo, lakini kilikuwa na abiria zaidi ya 400. 

Kivuko hicho kilizama katika Ziwa Victoria mita 50 kabla ya kutia nanga kisiwa cha Ukara.Kilikuwa kikitokea katika Kisiwa cha Bugolora kuelekea Kisiwa cha Ukara wilayani Ukerewe


Hivyo makala Idadi ya Waliofariki MV Nyerere Yafika 100

yaani makala yote Idadi ya Waliofariki MV Nyerere Yafika 100 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Idadi ya Waliofariki MV Nyerere Yafika 100 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/idadi-ya-waliofariki-mv-nyerere-yafika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Idadi ya Waliofariki MV Nyerere Yafika 100"

Post a Comment