NAIBU KAMISHNA LIBERATUS SABAS AONGEA NA ASKARI WILAYANI LIWALE KABLA YA KWENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI MDOGO WA MBUNGE

NAIBU KAMISHNA LIBERATUS SABAS AONGEA NA ASKARI WILAYANI LIWALE KABLA YA KWENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI MDOGO WA MBUNGE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU KAMISHNA LIBERATUS SABAS AONGEA NA ASKARI WILAYANI LIWALE KABLA YA KWENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI MDOGO WA MBUNGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU KAMISHNA LIBERATUS SABAS AONGEA NA ASKARI WILAYANI LIWALE KABLA YA KWENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI MDOGO WA MBUNGE
kiungo : NAIBU KAMISHNA LIBERATUS SABAS AONGEA NA ASKARI WILAYANI LIWALE KABLA YA KWENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI MDOGO WA MBUNGE

soma pia


NAIBU KAMISHNA LIBERATUS SABAS AONGEA NA ASKARI WILAYANI LIWALE KABLA YA KWENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI MDOGO WA MBUNGE

 Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akipokea taarifa ya Askari watakao simamia Uchaguzi Mdogo wa Mbunge utakaofanyika mkoani Lindi wilaya ya Liwale Jimbo la Liwale siku ya kesho Jumamosi tarehe 13.10.2018 kutoka kwa Kamanda wa Mkoa wa Lindi Kamishna Msaidizi wa Polisi  ACP Pudensiana Protas Kokuberwa. (Picha na Jeshi la Polisi)

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi Kamishna Msaidizi wa Polisi  ACP Pudensiana Protas Kokuberwa akiongea na Askari Wilaya ya Liwale mkoani humo kabla yakwenda kusimamia Uchaguzi mdogo wa Mbunge utakaofanyika kesho Jumamosi Tarehe 13.10.2018.
 Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akiongea na Askari wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi  kabla yakwenda kusimamia uchaguzi mdogo wa Mbunge utakaofanyika kesho Jumamosi Tarehe 13.10.2018.
Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akiongea na Askari wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi  kabla yakwenda kusimamia uchaguzi mdogo wa Mbunge utakaofanyika kesho Jumamosi Tarehe 13.10.2018. (Picha na Jeshi la Polisi).


Hivyo makala NAIBU KAMISHNA LIBERATUS SABAS AONGEA NA ASKARI WILAYANI LIWALE KABLA YA KWENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI MDOGO WA MBUNGE

yaani makala yote NAIBU KAMISHNA LIBERATUS SABAS AONGEA NA ASKARI WILAYANI LIWALE KABLA YA KWENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI MDOGO WA MBUNGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU KAMISHNA LIBERATUS SABAS AONGEA NA ASKARI WILAYANI LIWALE KABLA YA KWENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI MDOGO WA MBUNGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/10/naibu-kamishna-liberatus-sabas-aongea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU KAMISHNA LIBERATUS SABAS AONGEA NA ASKARI WILAYANI LIWALE KABLA YA KWENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI MDOGO WA MBUNGE"

Post a Comment