title : HABIBU KYOMBO AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA MAJARIBIO AFRIKA KUSINI
kiungo : HABIBU KYOMBO AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA MAJARIBIO AFRIKA KUSINI
HABIBU KYOMBO AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA MAJARIBIO AFRIKA KUSINI

UONGOZI wa Singida United wanategemea kukaa mezani na Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini kwa ajili ya kufikia muafaka wa mchezaji Habibu Kyombo.
Mshambuliaji huyo kinara kwa ufungaji kwenye michuano ya Azam Sport Federation Cup aliekipiga Singida United kwa msimu mzima uliopita 2017-18 amerejea nchini jana akitokea nchini humo.
Ambako alikuwa akifanya majaribio katika viwanja vya Schloorkop Mamelodi Sundowns kwa ajili ya majaribio kikosini hapo.
Imeelezwa Kyombo alipewa siku 10 za majaribio na uongozi wa klabu ya Mamelod na kuongezewa tena siku zingine 10 kwa ajili ya kufanya trial na senior team.
Siku 20 zilipokamilika kwa majaribio ya mshambuliaji huyo huku mamelodi wakikikubali kiwango chake na uwezo wake mkubwa aliouonyesha kwa siku hizo alizopewa.
Baada ya kukaa mezani uwongozi wa Singada United na Mamelod Sundown kujadiliana kubaki mchezaji huyo kwa waajiri wake wa msimu uliopita au kujiunga na kikosi cha Mamelodi.
Hivyo makala HABIBU KYOMBO AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA MAJARIBIO AFRIKA KUSINI
yaani makala yote HABIBU KYOMBO AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA MAJARIBIO AFRIKA KUSINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HABIBU KYOMBO AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA MAJARIBIO AFRIKA KUSINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/habibu-kyombo-arejea-nchini-baada-ya.html
0 Response to "HABIBU KYOMBO AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA MAJARIBIO AFRIKA KUSINI"
Post a Comment