title : USAJILI WA KWANZA KWA YANGA NI HUU, YAANZA NA BEKI WA KATI KUTOKA ZANZIBAR
kiungo : USAJILI WA KWANZA KWA YANGA NI HUU, YAANZA NA BEKI WA KATI KUTOKA ZANZIBAR
USAJILI WA KWANZA KWA YANGA NI HUU, YAANZA NA BEKI WA KATI KUTOKA ZANZIBAR
Meneja wa timu ya Yanga Hafidh Saleh akimkabidhi jezi ya Yanga mchezaji mpya wa timu hiyo Abdallah Haji Shaibu "Ninja" aliyesajiliwa kutoka timu ya Taifa ya Jang"ombe akiingia kandarasi ya miaka miwili.
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
MABINGWA wa ligi kuu Vodacom Tanzania klabu ya Yanga wamefanikiwa kupata saini ya beki wa timu ya Taifa ya Jang"ombe Abdallah Haji Shaibu "Ninja" ambaye walionyesha nia hiyo toka michuano ya Mapinduzi mwezi Januari Visiwani Zanzibar.
Kufanikisha kupata saini ya beki huyo kutoka visiwani Zanzibar, Yanga wanakuwa wamefanya usajili wao wa kwanza toka kumalizika kwa ligi msimu wa 2016/17.
Shaibu amepewa kandarasi ya miaka miwili akitarajiw akurithi mikoa ya Mzanzibar Nadir Haroub ' Canavaro' ambaye ameweza kuitumia klabu ya Yanga kwa takribani miaka 11 toka alivyojiunga.
Beki wa kati Abdallah Haji Shaibu "Ninja" akiwa anasaini kandarasi ya kuitumika klabu ya Yanga akitokea timu ya Taifa ya Jang'ombe, kushoto ni Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa.
Hivyo makala USAJILI WA KWANZA KWA YANGA NI HUU, YAANZA NA BEKI WA KATI KUTOKA ZANZIBAR
yaani makala yote USAJILI WA KWANZA KWA YANGA NI HUU, YAANZA NA BEKI WA KATI KUTOKA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala USAJILI WA KWANZA KWA YANGA NI HUU, YAANZA NA BEKI WA KATI KUTOKA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/usajili-wa-kwanza-kwa-yanga-ni-huu.html
0 Response to "USAJILI WA KWANZA KWA YANGA NI HUU, YAANZA NA BEKI WA KATI KUTOKA ZANZIBAR"
Post a Comment