DC PANGANI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE MAUAJI YA DEREVA WA BODABODA WILAYANI PANGANI

DC PANGANI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE MAUAJI YA DEREVA WA BODABODA WILAYANI PANGANI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC PANGANI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE MAUAJI YA DEREVA WA BODABODA WILAYANI PANGANI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC PANGANI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE MAUAJI YA DEREVA WA BODABODA WILAYANI PANGANI
kiungo : DC PANGANI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE MAUAJI YA DEREVA WA BODABODA WILAYANI PANGANI

soma pia


DC PANGANI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE MAUAJI YA DEREVA WA BODABODA WILAYANI PANGANI

MKUU wa wilaya ya Pangani Mkoani Tanga Mhe. Zainabu Abdallah ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama wilayani humo kufanya uchunguzi wa kina ufanyike ili kuweza kubainika sababu za mauaji ya dereva wa bodaboda Mohamed Ally alimaarufu kama Sharo aliyekuwa anafanya kazi zake Pangani mjini.  
Inadaiwa mauaji ya bodaboda huyo yalitokea jioni ya Septemba 22 mwaka huu na mwili wake kupatikana Jumapili na kuzikwa juzi mara baada ya kukodiwa na watu wasiojulikana ambao walitaka awapeleka Tanga mjini na walipofika njiani wakatekeleza mauaji hayo kwa kumnyonga hadi umauti ulipomkuta na kuchukua pikipiki yake kutokomea kusikojulikana. 
Akizungumza mara baada ya kuitembelea familia ya marehemu na kutoa pole, Mkuu huyo wa wilaya alisema wamepokea kwa masikitiko makubwa na mshtuko wizi huo na mauaji hayo ya bodaboda ambaye ni kijana mjasiriamali. 
 “Kijana huyu mkazi wa Pangani ameuwawa kikatili sana kwa kunyongwa na watu wasiokuwa na utu na kuchukua pikipiki aliokuwa akifanyia biashara ….inaumiza kijana asie na hatia anayejitafutia riziki kujikwamua kimaisha ndoto zake zinakwamishwa”,alisema. 
 Aidha alisema wanalaani vikali vitendo hivyo huku akiviagiza vyombo husika kufanya uchunguzi wa tukio hilo haraka ili wahusika waweze kuchukuliwa hatua kwa kupelekwa kwenye vyombo vya kisheria. 
DC ZAinab alisema wanatarajia kukutana na kuongea na chama cha waendesha BodaBoda wilaya ya humo kuhusu jambo hili na mustakabali wao hasa kwenye masuala ya ulinzi na usalama.
 MKUU wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah kulia akimfariji mama wa dereva wa bodaboda aliyeuwawa Mohamed Ally alimaarufu Sharo anayefanya kazi zake Pangani mjini ambaye inadaiwa alikodisha na watu wasiojulikana na kufanya mauaji hayo
 MKUU wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah kushoto akimpa pole mama wa bodaboda aliyeuwawa Mohamed Ally alimaarufu Sharo anayefanya kazi zake Pangani mjini ambaye inadaiwa alikodisha na watu
wasiojulikana na kufanya mauaji hayo
 MKUU wa wilaya ya Pangani Zainabu Abdallah katikati akiteta jambo na ndugu wa marehemu kushoto ni Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani Mwalimu Nyange Hassani katikati ni Afisa Tawala wa wilaya hiyo Gipson


Hivyo makala DC PANGANI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE MAUAJI YA DEREVA WA BODABODA WILAYANI PANGANI

yaani makala yote DC PANGANI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE MAUAJI YA DEREVA WA BODABODA WILAYANI PANGANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC PANGANI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE MAUAJI YA DEREVA WA BODABODA WILAYANI PANGANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/dc-pangani-aagiza-uchunguzi-ufanyike.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC PANGANI AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE MAUAJI YA DEREVA WA BODABODA WILAYANI PANGANI"

Post a Comment