WILAYA YA KISHAPU YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA KILIMO NA ELIMU

WILAYA YA KISHAPU YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA KILIMO NA ELIMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WILAYA YA KISHAPU YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA KILIMO NA ELIMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WILAYA YA KISHAPU YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA KILIMO NA ELIMU
kiungo : WILAYA YA KISHAPU YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA KILIMO NA ELIMU

soma pia


WILAYA YA KISHAPU YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA KILIMO NA ELIMU

Mwambawahabari

1
Katibu Tawala wa Wilaya, Shadrack Kengese akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha shughuli za kilimo na elimu kwa wananchi.
2
Ofisa Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika katika halmashauri ya wilaya ya Kishapu, Godwin Everygist akifafanua jambo kwa wananchi wakati wa uhamasishaji wa shughuli za kilimo.
3
Ofisa Elimu Sekondari halmashauri ya wilaya ya Kishapu, Stephen Cleophas akihamasisha wananchi kushiriki shughuli za elimu.
4
Ofisa Elimu Msingi halmashauri ya wilaya ya Kishapu, Moshi Balele akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya uhamasishaji elimu na kilimo kwa wananchi.
5
Sehemu ya wananchi wakifuatilia matukio wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo kijiji cha Malwilo kata ya Somagedi wilayani Kishapu.
…………………….
Na Mwandishi Maalumu, Kishapu
Halmashauri ya wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga imezindua kampeni kabambe ya kuhamasisha wananchi kushiriki katika shughuli za kilimo na elimu.
Imezindua kampeni hiyo katika kijiji cha Malwilo kata ya Somagedi ambayo itashirikisha wananchi katika vijiji vyote vya wilaya hiyo ili kuinua hali za wananchi kiuchumi na kielimu.
Akizindua kampeni hiyo wa niaba ya Mkuu wilaya hiyo, Nyabaganga Taraba, Katibu Tawala wa Wilaya, Shadrack Kengese alisema kila mwananchi ana wajibu wa kutumia fursa ya ardhi kujiletea maendeleo.
Kengese alimiza wananchi kulima mazao yanayostahimili hali ya ukame kutokana na hali ya hewa ya wilaya hiyo ambayo hupata mvua chini ya wastani unaotakiwa.
Alisema halmashauri ya wilaya hiyo kwa kutambua hali ya hewa ilitunga sheria ndogo mwaka 2008 ya kilimo cha mazao yanayostahimili ukame na hifadhi ya chakula cha kutosha kwa kaya.
“Sheria hii imemtaka kila mkazi wa wilaya ya Kishapu kulima mazao yanayostahimili ukame ikiwa ni pamoja na kuhifadhi chakula cha kutosheleza mahitaji ya familia angalau miaka miwili au zaidi.
“Aidha sheria hii ilitungwa ili kutuhakikishia usalama wa chakula muda wote hivyo ni rai yangu kuwa wananchi wote tutashiriki katika shughuli za kilimo kwa kulima mazao yanayostahimili ukame,” alisisitiza.
Aidha, Kengese aliongeza kuwa sheria imetaja adhabu kwa mtu atakayekadi adhabu yake ni kifungo kisichozi miezi 12 au kulipa faini isiyozidi sh. laki tatu au adhabu zote mbili.
Pia aliwataka maofisa kilimo waisimamie sheria hiyo kikamilifu na kuwa yeyote atakayekaidi afikishwe kwenye vyombo vya sheria kwa ajili ya kuchukuliwa hatua zaidi.


Hivyo makala WILAYA YA KISHAPU YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA KILIMO NA ELIMU

yaani makala yote WILAYA YA KISHAPU YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA KILIMO NA ELIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WILAYA YA KISHAPU YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA KILIMO NA ELIMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wilaya-ya-kishapu-yazindua-kampeni-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WILAYA YA KISHAPU YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI KATIKA SHUGHULI ZA KILIMO NA ELIMU"

Post a Comment