title : Christopher Chiza aapishwa bungeni
kiungo : Christopher Chiza aapishwa bungeni
Christopher Chiza aapishwa bungeni
Mkutano wa kumi na mbili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, umeanza rasmi leo tarehe 4 Septemba, 2018 ambapo ilikuwa kikao cha kwanza na kuongozwa na Spika Job Ndugai.
Katika kikao hicho, Mbunge wa Jimbo la Buyungu, Mhandisi Christopher Chiza aliyechaguliwa kwenye uchaguzi mdogo wa tarehe 12 Agosti, 2018 alikula kiapo cha uaminifu mbele ya bunge.
Akiapa mbele ya Bunge, Mhandisi Chiza aliapa kuitumikia, kuilinda na kuitetea katiba ya nchi kwa moyo wake wote.
Mhandisi Chiza alishinda katika uchaguzi mdogo uliofanyika baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema, marehemu Kasuku Bilago kufariki dunia. Katika uchaguzi huo alichuana vikali na mgombea wa Chadema, Elia Michael.
Hivyo makala Christopher Chiza aapishwa bungeni
yaani makala yote Christopher Chiza aapishwa bungeni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Christopher Chiza aapishwa bungeni mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/christopher-chiza-aapishwa-bungeni.html
0 Response to "Christopher Chiza aapishwa bungeni"
Post a Comment