title : Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo Amnyuka Sam Eggington wa uingereza kwa KO
kiungo : Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo Amnyuka Sam Eggington wa uingereza kwa KO
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo Amnyuka Sam Eggington wa uingereza kwa KO
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo mwenye umri wa miaka 23 amemtwanga bondia wa Uingereza Sam Egginton kwa K.O kwenye round ya 4 kwenye pambano lao la raundi 10 la kusindikiza mchezo baina ya Amir Khan na Samuel Vargas lililofanyika Jumamosi Septemba 8, 2018 katika ukumbi Arena Birmingham (zamani Barclaycard Arena/NIA), mjini Birmingham kitongoji cha West Midlands, Uingereza. Vyombo vya habari za ndondi vimeutaja ushindi wa kijana huyo wa Kitanzania kama wa kushtua ikizingatiwa mpinzani wake ni bingwa wa mikanda kadhaa mikumbwa ya kimataifa. Kusoma zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo Amnyuka Sam Eggington wa uingereza kwa KO
yaani makala yote Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo Amnyuka Sam Eggington wa uingereza kwa KO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo Amnyuka Sam Eggington wa uingereza kwa KO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/bondia-mtanzania-hassan-mwakinyo.html
0 Response to "Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo Amnyuka Sam Eggington wa uingereza kwa KO"
Post a Comment