title : BODI YA KOROSHO YASHAURIWA KUZITUMIA TAASISI ZA KIJESHI ZA JKT MGAMBO NA JKT MARAMBA MCHAKATO WA UZALISHAJI WA MICHE YA KOROSHO
kiungo : BODI YA KOROSHO YASHAURIWA KUZITUMIA TAASISI ZA KIJESHI ZA JKT MGAMBO NA JKT MARAMBA MCHAKATO WA UZALISHAJI WA MICHE YA KOROSHO
BODI YA KOROSHO YASHAURIWA KUZITUMIA TAASISI ZA KIJESHI ZA JKT MGAMBO NA JKT MARAMBA MCHAKATO WA UZALISHAJI WA MICHE YA KOROSHO
BODI ya korosho Mkoa Tanga imeshauriwa kuzitumia taasisi za Kijeshi za JKT Mgambo na JKT Maramba ili ziweze kusaidia katika mchakato wa uzalishaji wa miche ya mimea hiyo ya korosho.
Hayo yamezungumzwa na Mkuu wa Mkoa Tanga Martin Shigella kwenye mkutano wa wadau wa zao la korosho uliokuwa na lengo la kujadili maendeleo ya Tasnia ya zao la korosho kwa kipindi cha msimu wa miaka mitatu.
Shigella alisema ili bodi hiyo iweza kukabiliana na uhaba wa miche katika Halmashauri zinazolima zao hilo lazima ifike wakati taasisi hizo ziweze kutumika kukabidhiwa mbegu kwa ajili ya kuzalisha miche hiyo.
“Jaribuni kuwasiliana na taasisi hizio za kijeshi ambazo wanawataalamu wa kuandaa vitalu wanaweza kuwasaidia kuzalisha miche mingi na iliyo na ubora unaotakiwa”Alisema Shigella.
Mbali na hilo pia alizitaka Halmashauri zote zinazolima zao hilo kuhakikisha zinatenga bajeti mapema ndani ya mwezi huu wa Sept kwa ajili ya ununuzi wa mbegu toka katika Taasisi ya Utafiti wa kilimo(Naliendele) kwa ajili ya uzalishaji wa miche ambayo inatarajiwa kusambazwa mwakani kwa wakulima wote
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Hivyo makala BODI YA KOROSHO YASHAURIWA KUZITUMIA TAASISI ZA KIJESHI ZA JKT MGAMBO NA JKT MARAMBA MCHAKATO WA UZALISHAJI WA MICHE YA KOROSHO
yaani makala yote BODI YA KOROSHO YASHAURIWA KUZITUMIA TAASISI ZA KIJESHI ZA JKT MGAMBO NA JKT MARAMBA MCHAKATO WA UZALISHAJI WA MICHE YA KOROSHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BODI YA KOROSHO YASHAURIWA KUZITUMIA TAASISI ZA KIJESHI ZA JKT MGAMBO NA JKT MARAMBA MCHAKATO WA UZALISHAJI WA MICHE YA KOROSHO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/bodi-ya-korosho-yashauriwa-kuzitumia_10.html
0 Response to "BODI YA KOROSHO YASHAURIWA KUZITUMIA TAASISI ZA KIJESHI ZA JKT MGAMBO NA JKT MARAMBA MCHAKATO WA UZALISHAJI WA MICHE YA KOROSHO"
Post a Comment