title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Atumia Usafiri w Ngege ya ATCL ya BOENG 787-8 DREAM LINER.Akitokea Mkoani Mwanza.
kiungo : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Atumia Usafiri w Ngege ya ATCL ya BOENG 787-8 DREAM LINER.Akitokea Mkoani Mwanza.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Atumia Usafiri w Ngege ya ATCL ya BOENG 787-8 DREAM LINER.Akitokea Mkoani Mwanza.
Ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL) ikiwa Juu Ziwa Viktoria Mwanza ikijiandaa kutua katika uwanja wa Mwanza leo 22/Agosti /2018
Waziri Mkuu Kassim Majalliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mama Mary Majaliwa ,Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Philip Mangula pamoja na Mkuu wa Mkoa Mwanza .John Mongela pembeni ya Ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akiwa ndani ya ndege Boeing 787-8 Dream Liner ya shirika la ndege la Tanzania (ATCL)alipokuwa akitoka Jijini Mwanza kuelekea Dar es salaam na Mke wake Mary Majaliwa ikiwa ni mara ya kwanza kwa Waziri Mkuu kusafiri kwa kutumia ndege hiyo mpya akiwa na abiri wngine.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Atumia Usafiri w Ngege ya ATCL ya BOENG 787-8 DREAM LINER.Akitokea Mkoani Mwanza.
yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Atumia Usafiri w Ngege ya ATCL ya BOENG 787-8 DREAM LINER.Akitokea Mkoani Mwanza. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Atumia Usafiri w Ngege ya ATCL ya BOENG 787-8 DREAM LINER.Akitokea Mkoani Mwanza. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_23.html
0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Atumia Usafiri w Ngege ya ATCL ya BOENG 787-8 DREAM LINER.Akitokea Mkoani Mwanza."
Post a Comment