WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA IDARA NA VITENGO VILIVYOPO OFISI YA WAZIRI MKUU

WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA IDARA NA VITENGO VILIVYOPO OFISI YA WAZIRI MKUU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA IDARA NA VITENGO VILIVYOPO OFISI YA WAZIRI MKUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA IDARA NA VITENGO VILIVYOPO OFISI YA WAZIRI MKUU
kiungo : WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA IDARA NA VITENGO VILIVYOPO OFISI YA WAZIRI MKUU

soma pia


WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA IDARA NA VITENGO VILIVYOPO OFISI YA WAZIRI MKUU

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametembelea Idara na Vitengo vilivyopo Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu ili kujionea hali halisi ya utendaji kazi wa watumishi wa ofisi hiyo.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akisisitiza jambo kwa afisa  wa hifadhi ya jamii wa Ofisi hiyo Bw. Saimon Mwanjala wakati alipotembelea Idara na Vitengo vilivyopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuona utendaji wao leo jijini Dodoma. (Kushoto) Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Bw. Peter Kalonga.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Bw. Gabriel Saelie leo Jijini Dodoma wakati wa ziara yake ya kutembelea Idara na Vitengo vya Ofisi hiyo kujionea jinsi wanavyotekeleza majukumu yao.
 Mmoja wa watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Bi. Leinila Mtilanjala akitoa maelezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama leo mjini Dodoma wakati alipotembelea Vitengo na Idara zilizopo chini ya Ofisi hiyo.
 Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu wakimsikiliza. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya kutembelea Idara na Vitengo vya Ofisi hiyo kujionea jinsi wanavyotekeleza majukumu yao.

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Bw. Peter Kalonga akimwelezea jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama wakati wa ziara yake ya kutembelea Idara na Vitengo vilivyopo chini ya Ofisi hiyo. (Kulia) Mtakwimu Mwandamizi Idara ya Ajira Bw. Godwin Mpelumbe.


Hivyo makala WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA IDARA NA VITENGO VILIVYOPO OFISI YA WAZIRI MKUU

yaani makala yote WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA IDARA NA VITENGO VILIVYOPO OFISI YA WAZIRI MKUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA IDARA NA VITENGO VILIVYOPO OFISI YA WAZIRI MKUU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/waziri-mhagama-atembelea-idara-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI MHAGAMA ATEMBELEA IDARA NA VITENGO VILIVYOPO OFISI YA WAZIRI MKUU"

Post a Comment