NEC YAKABIDHIWA JENGO LA OFISI ZANZIBAR.

NEC YAKABIDHIWA JENGO LA OFISI ZANZIBAR. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEC YAKABIDHIWA JENGO LA OFISI ZANZIBAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEC YAKABIDHIWA JENGO LA OFISI ZANZIBAR.
kiungo : NEC YAKABIDHIWA JENGO LA OFISI ZANZIBAR.

soma pia


NEC YAKABIDHIWA JENGO LA OFISI ZANZIBAR.


  Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia akifafanua jambo kwa  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bw. Salum Kassim Ali (kulia), Mkuu wa Idara ya Utawala ya NEC Bw. Hamis Mkunga (kushoto), Mkuu wa Idara ya Habari ya NEC, Bi. Giveness Aswile (wa pili kutoka kulia) na Mkuu wa Idara ya Manunuzi ya NEC Bw. Eliud Njaila mara baada kukabidhiwa jengo la Ofisi litakalotumiwa na NEC mjini Zanzibar jana.

 Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia (kulia) akizungumza na Watendaji wa Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) jana mjini Zanzibar mara baada ya watendaji hao kukabidhi jengo la Ofisi litakalotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Zanzibar. Jengo hilo ambalo liko chini ya Shirika la Bandari Zanzibar limetolewa kwa NEC na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
 Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia akiangalia mandhari ya nje ya jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) lililotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Wengine pichani ni baadhi ya Watendaji wa Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) ambalo jengo hilo lilikua chini yao
 . Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia akikagua sehemu za nje za jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) lililotolewa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana.
 Watendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa Shirika la Bandari Zanzibar wakiongozwa na Mkurugenzi wa Utawala wa Shirika hilo Bw. Mrisho Haji Mrisho jana mjini Zanzibar.
 Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bw. Salum Kassim Ali (kulia), akifafanua jambo kwa  Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Athumani Kihamia (wa pili kutoka kulia) na watendaji wengine wa NEC jana mjini Zanzibar.
 Picha ya jengo la Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) mjini Zanzibar. Jengo hilo limetolewa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jana.

PICHA ZOTE/ NEC, Zanzibar.




Hivyo makala NEC YAKABIDHIWA JENGO LA OFISI ZANZIBAR.

yaani makala yote NEC YAKABIDHIWA JENGO LA OFISI ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEC YAKABIDHIWA JENGO LA OFISI ZANZIBAR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/nec-yakabidhiwa-jengo-la-ofisi-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NEC YAKABIDHIWA JENGO LA OFISI ZANZIBAR."

Post a Comment