Watanzania Enzini Mila na Desturi nzuri Rithisheni Vizazi vijavyao

Watanzania Enzini Mila na Desturi nzuri Rithisheni Vizazi vijavyao - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Watanzania Enzini Mila na Desturi nzuri Rithisheni Vizazi vijavyao, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Watanzania Enzini Mila na Desturi nzuri Rithisheni Vizazi vijavyao
kiungo : Watanzania Enzini Mila na Desturi nzuri Rithisheni Vizazi vijavyao

soma pia


Watanzania Enzini Mila na Desturi nzuri Rithisheni Vizazi vijavyao

Na. Vero Ignatus. ARUSHA

Watanzania wameshauriwa kuenzi mila na desturi nzuri ili kuzirithisha kwa vizazi vijavyo na kuwa na Taifa lenye utamaduni madhubuti.

Rai hiyo imetolewa katika tamasha linalokutanisha familia 172 zenye jumla ya watu 323 kutoka katika kabila la wanyambo kutoka wilaya za Karagwe na Kerwa waishiao mkoani Arusha. Akizungumzia lengo la tamasha hilo mwenyekiti kikundi cha Kanono Wilbard Ngambeki amesema lengo kubwa ni kuimarisha umoja na kuzifanya familia zilizozaliwa kufahamu tamaduni zile nzuri za wazazi wao.

'' Katika tamasha hili michezo imekuwa ni kivutio kikubwa, wazazi wanawaleta watoto wao ila sisi tunapitisha mila zetu na desturi zetu njema kwao ili wakue wakitambua wazazi wao ndipo tulipotoka hata watakapokuwa kwenye miji mingine ya watu mbali na wazazi wao.''

Ngambeki amesema umoja huo wa Kundi la Kanono tayari walishaanzisha Saccos ambayo inawanachama 105 waliojiunga na tayari wameshakopeshana zaidi ya milioni 800 kwa riba nafuu. Afisa Ushirika Jiji la Arusha Huruma Kibendwa aliyekuwa mgeni rasmi katika tamashaa hilo amepongeza umoja kwa kuwa na saccos ambayo inawasaidia kukopeshana wao kwawao na kujikwamua kiuchumi na kimaendeleo

'' Kwani mara nyingi tunawashauri wanamchi wajiunge kwenye vikundi ili waweze kujikwamua kiuchumi kwa kukopeshana wao kwa wao mkopo wenye riba nafuu uzuri kikundi hiki kimesajiliwa na mna saccos inayofanya vizuri '' Alisema Kibendwa.
Mgeni rasmi Afisa Ushirika Jiji la Arusha Huruma Kibendwa akimkabidhi cheti mmoja wa kundi la Kanono, aliyepo kushotonkwake ni Mwenyekiti wa Kundi la Kanono Wilbald Ngambeki, na wakwanza kulia ni Davis Kalegea mtendaji wa kundi hilo. 
Wakina mama pamoja na wanaume kutoka kabila la Wanyambo waishio mkoani Arusha wakifanya maandalizi ya kutengeneza vyakula vya asili katika tamasha hilo. Picha na Vero Ignatus
Maandalizi ya chakula cha asili yakiendelea kama inavyoonekana pichani.




Hivyo makala Watanzania Enzini Mila na Desturi nzuri Rithisheni Vizazi vijavyao

yaani makala yote Watanzania Enzini Mila na Desturi nzuri Rithisheni Vizazi vijavyao Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Watanzania Enzini Mila na Desturi nzuri Rithisheni Vizazi vijavyao mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/watanzania-enzini-mila-na-desturi-nzuri.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Watanzania Enzini Mila na Desturi nzuri Rithisheni Vizazi vijavyao"

Post a Comment