title : RAIS SHEIN AZINDUA PROGRUM YA PAMOJA ZANZIBAR
kiungo : RAIS SHEIN AZINDUA PROGRUM YA PAMOJA ZANZIBAR
RAIS SHEIN AZINDUA PROGRUM YA PAMOJA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (,kushoto) na Mwakilishi Mkaazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) Bw.Alvaro Rodriguez wakifungua pazia kuashiria Uzinduzi wa PROGRAMU ya Pamoja Zanzibar uliofanyika leo Ukumbi wa Idrisa Abduwakil Mnazi Mmoja mjini Zanzibar ambapo mpango huo utafanikisha maendeleo kwa wananchi wa Zanzibar,[Picha na Ikulu.]28 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi wengine wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya Uzinduzi wa PROGRAMU ya Pamoja Zanzibar iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abduwakil Mnazi Mmoja mjini Zanzibar akiwepo na Mwakilishi Mkaazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) Bw.Alvaro Rodriguez (wa tatu kushoto),[Picha na Ikulu.]28 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya Uzinduzi wa PROGRAMU ya Pamoja Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abduwakil Mnazi Mmoja mjini Zanzibar (wa tatu kushoto)Mwakilishi Mkaazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) Bw.Alvaro Rodriguez,[Picha na Ikulu.]28 Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi zana za Kazi Bibi.Mwanaisha Makame (Topu) (wa pili kulia) katika hafla ya Uzinduzi wa PROGRAMU ya Pamoja Zanzibar uliofanyika leo Ukumbi wa Idrisa Abduwakil Mnazi Mmoja mjini Zanzibar (katikati) Mwakilishi Mkaazi na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) Bw.Alvaro Rodriguez,[Picha na Ikulu.]28 Aug 2018.
Wananchi na Wawakilishi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa PROGRAMU ya Pamoja Zanzibar iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abduwakil Mnazi Mmoja mjini Zanzibar,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mswenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.]28 Aug 2018.
Hivyo makala RAIS SHEIN AZINDUA PROGRUM YA PAMOJA ZANZIBAR
yaani makala yote RAIS SHEIN AZINDUA PROGRUM YA PAMOJA ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS SHEIN AZINDUA PROGRUM YA PAMOJA ZANZIBAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-shein-azindua-progrum-ya-pamoja.html
0 Response to "RAIS SHEIN AZINDUA PROGRUM YA PAMOJA ZANZIBAR"
Post a Comment