Ujumbe wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE Watembelea Kisiwani Pemba Kuangalia Miradi Mbalimbali Kisiwani Humo leo.

Ujumbe wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE Watembelea Kisiwani Pemba Kuangalia Miradi Mbalimbali Kisiwani Humo leo. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ujumbe wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE Watembelea Kisiwani Pemba Kuangalia Miradi Mbalimbali Kisiwani Humo leo., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ujumbe wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE Watembelea Kisiwani Pemba Kuangalia Miradi Mbalimbali Kisiwani Humo leo.
kiungo : Ujumbe wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE Watembelea Kisiwani Pemba Kuangalia Miradi Mbalimbali Kisiwani Humo leo.

soma pia


Ujumbe wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE Watembelea Kisiwani Pemba Kuangalia Miradi Mbalimbali Kisiwani Humo leo.

Mganga Mkuu wa Hospitali ya Abdalla Mzeee ya Mkoani Mkoa wa Kusine Pemba Dk.Haji Mwita (kushoto) akifuatana na  Ujumbe wa Timu ya Wataalam kutoka Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulipofika kutembelea Hospitali hiyo leo kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoifanya (UAE) mwanzoni mwa mwaka huu
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Abdalla Mzeee ya Mkoani Mkoa wa Kusine Pemba Dk.Haji Mwita (katikati) akifuatana na  Mkurugenzi Mkuu katika masuala ya taalum wa idara ya mambo ya afya katika kampuni ya afya Abudhabi Dk.Ali Ali Obeid wakati Ujumbe wa Timu ya Wataalam kutoka Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulipofika kutembelea Hospitali hiyo leo kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoifanya (UAE) mwanzoni mwa mwaka huu
Mshauri wa Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE)  Bibi Najla Al- Kaabi akiuliza suala kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Nd.Shomari Omar Shomari wakati Ujumbe wa Timu ya Wataalam kutoka Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulipofika kutembelea mradi wa Bandari ya Mkoani Pemba leo kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoifanya (UAE) mwanzoni mwa mwaka huu
Ujumbe wa Wataalamu kutoka Nchi za umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) ulipotembelea Barbara ya Mkoani- Chakechake leo,wakati ujumbe huo ukiwa nchini kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoifanya (UAE) mwanzoni mwa mwaka huu
Mkuu wa Mkoa wa Kusine Pemba Mhe.haemedi Suleiman Abdalla akifuatana na Mshauri wa Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Bibi Najla Al- Kaabi  (kukhoto) pamoja na Ujumbe wake wa  Wataalamu kutoka Nchi hizo ulipofika kutembelea mradi wa Barabara ya Mkoani -Chakechake kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein aliyoifanya (UAE) mwanzoni mwa mwaka huu,[Picha na Ikulu.] 10/08/2018. 


Hivyo makala Ujumbe wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE Watembelea Kisiwani Pemba Kuangalia Miradi Mbalimbali Kisiwani Humo leo.

yaani makala yote Ujumbe wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE Watembelea Kisiwani Pemba Kuangalia Miradi Mbalimbali Kisiwani Humo leo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ujumbe wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE Watembelea Kisiwani Pemba Kuangalia Miradi Mbalimbali Kisiwani Humo leo. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/ujumbe-wa-umoja-wa-nchi-za-falme-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ujumbe wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE Watembelea Kisiwani Pemba Kuangalia Miradi Mbalimbali Kisiwani Humo leo."

Post a Comment