Matukio : Taswira mbalimbali ya kuwaapisha Mabalozi Wapya wa Tanzania nchini Misri na Zambia

Matukio : Taswira mbalimbali ya kuwaapisha Mabalozi Wapya wa Tanzania nchini Misri na Zambia - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matukio : Taswira mbalimbali ya kuwaapisha Mabalozi Wapya wa Tanzania nchini Misri na Zambia, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matukio : Taswira mbalimbali ya kuwaapisha Mabalozi Wapya wa Tanzania nchini Misri na Zambia
kiungo : Matukio : Taswira mbalimbali ya kuwaapisha Mabalozi Wapya wa Tanzania nchini Misri na Zambia

soma pia


Matukio : Taswira mbalimbali ya kuwaapisha Mabalozi Wapya wa Tanzania nchini Misri na Zambia




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Issa Suleim Nassor kuwa balozi wa Tanzania nchini Misri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Issa Suleim Nassor kuwa balozi wa Tanzania nchini Misri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017 Abdulrhaman Kaniki kuwa balozi wa Tanzania nchini Misri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kimkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha Mhe. Abdulrahman Kaniki kuwa balozi wa Tanzania nchini Zambia Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli balozi mpya wa Tanzania nchini Misri Mhe. Issa suleiman Nassor na Mhe. Abdulrahman Kaniki balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia wakila viapo vya maadili ya viongozi baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017

Balozi mpya wa Tanzania nchini Misri Mhe. Issa suleiman Nassor akiongea machache baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017

Blozi mpya wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki machache baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza baada ya kumuapisha Mhe. Abdulrahman Kaniki kuwa balozi wa Tanzania nchini Zambia Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza baada ya kumuapisha Mhe. Issa Suleim Nassor kuwa balozi wa Tanzania nchini Misri Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Naibu Waziri wa mambo ya Nje Dkt. Suzan Kolimba, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje Dkt. Aziz Ponary Mlima na Viongozi wa vyombo vya ulinzi na Usalama wakiwa katka picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki na balozi mpya wa Tanzania nchini Misri Mhe. Issa suleiman Nassor baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa katka picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Abdulrahman Kaniki na maofisa waandamizi wa Polisi Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi mpya wa Tanzania nchini Misri Mhe. Issa suleiman Nassor Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 5, 2017




Picha na IKULU


Hivyo makala Matukio : Taswira mbalimbali ya kuwaapisha Mabalozi Wapya wa Tanzania nchini Misri na Zambia

yaani makala yote Matukio : Taswira mbalimbali ya kuwaapisha Mabalozi Wapya wa Tanzania nchini Misri na Zambia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matukio : Taswira mbalimbali ya kuwaapisha Mabalozi Wapya wa Tanzania nchini Misri na Zambia mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/matukio-taswira-mbalimbali-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Matukio : Taswira mbalimbali ya kuwaapisha Mabalozi Wapya wa Tanzania nchini Misri na Zambia"

Post a Comment