DC SOPHIA MFAUME ATEMBELEA SEKONDARI YA NASULI, AWAFUNDA WANAFUNZI WA KIKE, AELEZA MIKAKATI

DC SOPHIA MFAUME ATEMBELEA SEKONDARI YA NASULI, AWAFUNDA WANAFUNZI WA KIKE, AELEZA MIKAKATI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC SOPHIA MFAUME ATEMBELEA SEKONDARI YA NASULI, AWAFUNDA WANAFUNZI WA KIKE, AELEZA MIKAKATI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC SOPHIA MFAUME ATEMBELEA SEKONDARI YA NASULI, AWAFUNDA WANAFUNZI WA KIKE, AELEZA MIKAKATI
kiungo : DC SOPHIA MFAUME ATEMBELEA SEKONDARI YA NASULI, AWAFUNDA WANAFUNZI WA KIKE, AELEZA MIKAKATI

soma pia


DC SOPHIA MFAUME ATEMBELEA SEKONDARI YA NASULI, AWAFUNDA WANAFUNZI WA KIKE, AELEZA MIKAKATI

Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Sophia Mfaume  akiwa katika picha ya pamoja na walimu wa shule ya sekondari Nasuli iliyopo wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma leo Agosti 30,2018.
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Nasuli iliyopo Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvumawakimsikiliza MKUU wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Sophia Mfaume katika wilaya hiyo leo Agosti 30,2018.
 Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Sophia Mfaume akimsikiliza mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Nasuli leo

Na Ripota Wetu, Globu ya jamii
MKUU wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Sophia Mfaume ametembelea Sekondari ya Nasuli yenye kidato cha kwanza hadi cha sita iliyokuwa kwanza kimkoa katika matokeo ya Baraza la Mitihani la Taifa(NECTA) mwaka jana.

Akiwa shuleni ametumia nafasi hiyo pia kueleza kuwa malengo yao ni kuhakikisha shule hiyo inashika nafasi ya kwanza kitaifa huku akitoa ushauri kwa wanafunzi wahakikishe wanasoma kwa bidii na kuachana na mambo ambayo hayana uhusiano na masomo.

Akizungumza leo na Michuzi Blog, DC Mfaume amesema ametumia nafasi hiyo kuwakumbusha wanafunzi kwamba kitu chochote kikikaa eneo lisilo sahihi kinakua uchafu.

Amewapa mfano kwamba “Karatasi safi nyeupe nikiichukua na kuitupa pale 'smart area' ya shule basi itageuka na kuwa uchafu.... hivyo hata kuchanganya masomo na mambo yasiyohusu inakua ni uchafu.”

Mfaume amewasisitiza wanafunzi wa kike kuzingatia kanuni ya magauni manne ili wafikie ndoto zao.


Hivyo makala DC SOPHIA MFAUME ATEMBELEA SEKONDARI YA NASULI, AWAFUNDA WANAFUNZI WA KIKE, AELEZA MIKAKATI

yaani makala yote DC SOPHIA MFAUME ATEMBELEA SEKONDARI YA NASULI, AWAFUNDA WANAFUNZI WA KIKE, AELEZA MIKAKATI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC SOPHIA MFAUME ATEMBELEA SEKONDARI YA NASULI, AWAFUNDA WANAFUNZI WA KIKE, AELEZA MIKAKATI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dc-sophia-mfaume-atembelea-sekondari-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC SOPHIA MFAUME ATEMBELEA SEKONDARI YA NASULI, AWAFUNDA WANAFUNZI WA KIKE, AELEZA MIKAKATI"

Post a Comment