Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu

Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu
kiungo : Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu

soma pia


Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Description: Description: Description: Description: Description: Coat of Arms
Simu: 255-22-2114512, 2116898
Baruapepe: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz               

Nukushi: 255-22-2113425


OFISI YA RAIS,
     IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,   
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, atafanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu kati ya tarehe 03 Septemba, 2018 na tarehe 10 Septemba, 2018.
Katika ziara hiyo Mhe. Rais Magufuli ataweka mawe ya msingi na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo, pamoja na kuzungumza na wananchi katika mikutano ya hadhara.
Taarifa zaidi kuhusu ziara ya Mhe. Rais Magufuli katika mikoa husika zitatolewa na viongozi wa mikoa hiyo.
Aidha, baada ya kumaliza ziara katika mikoa hiyo Mhe. Rais Magufuli anatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Katavi, Rukwa, Songwe na Mbeya katika tarehe zitakazopangwa.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Chato, Geita

30 Agosti, 2018


Hivyo makala Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu

yaani makala yote Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-magufuli-kufanya-ziara-ya-kikazi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Rais Magufuli kufanya ziara ya kikazi katika mikoa ya Mwanza, Mara na Simiyu"

Post a Comment