WAZIRI LUGOLA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DODOMA.

WAZIRI LUGOLA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DODOMA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI LUGOLA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DODOMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI LUGOLA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DODOMA.
kiungo : WAZIRI LUGOLA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DODOMA.

soma pia


WAZIRI LUGOLA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DODOMA.

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kushoto), akimsalimia Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhan Kailima, wakati Waziri huyo alipokua anawasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi, jijini Dodoma leo kwa akili ya kufungua kikao kazi cha Makamanda wa Jeshi hilo. Wakati Makamanda hao wanajitambulisha, Lugola aliwafukuza kikaoni robo tatu ya makamanda hao kwa kutamka Jeshi la Zimamoto pekee bila kumalizia neno na Uokoaji. Hata hivyo, makamanda hao baadaye waliruhusiwa kuingia ukumbini kuendelea na kikao. Kulia ni Kamishna Jenerali wa Jeshi hilo, (CGF) Thobias Andengenye, na wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma,  Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhan Kailima, na wapili kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi.

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CGF) Thobias Andengenye, akizungumza na Makamanda wa Jeshi lake katika kikao kazi kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi, jijini Dodoma leo. Mgeni rasmi katika ufunguzi wa kikao hicho ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (watatu kulia). Katika kikao hicho, Lugola aliwafukuza kikaoni robo tatu ya makamanda waliohudhuria kikao hicho kwa kutamka Jeshi la Zimamoto pekee bila kumalizia neno Uokoaji, hata hivyo baadaye aliwaruhusu kuendelea na kikao hicho.
.

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CGF) Thobias Andengenye, akizungumza na Makamanda wa Jeshi lake katika kikao kazi kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi, jijini Dodoma leo. Mgeni rasmi katika ufunguzi wa kikao hicho ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (watatu kulia). Katika kikao hicho, Lugola aliwafukuza kikaoni robo tatu ya makamanda waliohudhuria kikao hicho kwa kutamka Jeshi la Zimamoto pekee bila kumalizia neno na Uokoaji, hata baadaye aliwaruhusu kuendelea na kikao hicho
 Sehemu ya Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji waliofukuzwa kikaoni na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (hayupo pichani), katika Kikao Kazi cha Jeshi hilo kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi, jijini Dodoma leo. Lugola aliwafukuza kikaoni robo tatu ya makamanda hao waliohudhuria kikao hicho kwa kutamka Jeshi la Zimamoto pekee bila kumalizia neno na Uokoaji.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika Kikao Kazi chao kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Polisi, jijini Dodoma leo. Lugola aliwafukuza kikaoni robo tatu ya makamanda waliohudhuria kikao hicho kwa kutamka Jeshi la Zimamoto pekee bila kumalizia neno na Uokoaji.


Hivyo makala WAZIRI LUGOLA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DODOMA.

yaani makala yote WAZIRI LUGOLA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DODOMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI LUGOLA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DODOMA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/waziri-lugola-mgeni-rasmi-mkutano-mkuu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI LUGOLA MGENI RASMI MKUTANO MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DODOMA."

Post a Comment