title : MWENYEKITI UVCCM, KHERI JAMES AWATAKA VIJANA WASOMI KUTUMIA ELIMU YAO KATIKA KUINUFAISHA JAMII
kiungo : MWENYEKITI UVCCM, KHERI JAMES AWATAKA VIJANA WASOMI KUTUMIA ELIMU YAO KATIKA KUINUFAISHA JAMII
MWENYEKITI UVCCM, KHERI JAMES AWATAKA VIJANA WASOMI KUTUMIA ELIMU YAO KATIKA KUINUFAISHA JAMII
NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.
MWENYEKITI wa Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Kheir James amewataka vijana wasomi nchini kuhakikisha tija ya elimu waliyonayo inanufaisha jamii iliyowazunguka kwa maslahi ya vizazi vya sasa na vijavyo.
Rai hiyo aliitoa wakati akiwahutubia vijana waliofaulu mtihani wa kidatu cha sita kwa daraja la kwanza, la pili na tatu (Division I,II na III) mwaka 2018 Zanzibar huko katika ukumbi wa Z-ocean iliyopo Bububu Wilaya ya Magharibi ‘’A’’ Zanzibar.
Alisema endapo vijana hao watashindwa kuzitumia vizuri elimu zao kwa kuzinufaisha jamii zilizowazunguka basi elimu hizo zitakuwa hazina maana kwao wao na taifa kwa ujumla.
Alisema serikali zote mbili ambazo ni Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinaendelea kuthamini vijana kwa kuwawezesha kupitia nyanja mbali mbali hasa za kitaaluma.
Aliwataka vijana hao ambao watajiunga na elimu ya juu katika vyuo mbali mbali nchini kuwa wanatakiwa kusoma masomo ambayo wana uwezo nayo ili waweze kufaulu vizuri katika masomo ya elimu ya juu na wawe wataalamu wenye uwezo wa kuleta mabadiliko chanya katika jamii.
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Kheir James akiwahubia wanafunzi wa kidato cha sita Zanzibar wa mwaka 2018 waliofaulu kwa kiwango daraja la kwanza, pili na tatu katika hafla ya kuwapongeza iliyoandaliwa na CCM Zanzibar ambayo imefanyika hoteli ya Z-ocean iliyopo Bububu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
NAIBU Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika hafla ya kuwapongeza wanafunzi wa kidato cha sita Zanzibar waliofaulu masomo yao kwa kliwango cha daraja la kwanza, pili na tatu mwaka 2018, iliandaliwa na CCM.
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar ambaye pia ni mlezi wa UVCCM Dk.Abdulla Juma Saadalla Mabodi akizungumza katika hafla hiyo ya kuwapongeza wanafunzi wa kidatu cha sita mwaka 2018 Zanzibar.
BAADHI ya wanafunzi wa kidato cha sita mwaka 2018 waliofaulu wakifuatilia na kusikiliza nasaha mbali mbali kutoka kwa viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali walioudhuria katika hafla hiyo.

Hivyo makala MWENYEKITI UVCCM, KHERI JAMES AWATAKA VIJANA WASOMI KUTUMIA ELIMU YAO KATIKA KUINUFAISHA JAMII
yaani makala yote MWENYEKITI UVCCM, KHERI JAMES AWATAKA VIJANA WASOMI KUTUMIA ELIMU YAO KATIKA KUINUFAISHA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI UVCCM, KHERI JAMES AWATAKA VIJANA WASOMI KUTUMIA ELIMU YAO KATIKA KUINUFAISHA JAMII mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mwenyekiti-uvccm-kheri-james-awataka.html
0 Response to "MWENYEKITI UVCCM, KHERI JAMES AWATAKA VIJANA WASOMI KUTUMIA ELIMU YAO KATIKA KUINUFAISHA JAMII"
Post a Comment