MRADI WA UJENZI NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA

MRADI WA UJENZI NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MRADI WA UJENZI NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MRADI WA UJENZI NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA
kiungo : MRADI WA UJENZI NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA

soma pia


MRADI WA UJENZI NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata Utepe kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo,[Picha na Ikulu]. 18Aug 2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maopinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akimkabidhi hati ta Nyumba kwa Bibi Yasmin Din na Mumewem Khalil Din wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo,[Picha na Ikulu]. 18Aug 2018. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipotembelea Nyumba ya Bw.Khalil Din ikiwa ni miongoni mwa Nyumba Sitini zilizokabidhiwa wakati wa Uzinduzi wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo,[Picha na Ikulu]. 18Aug 2018. 

Miongoni mwa Nyumba za Kisasa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B” ambazo leo jumla ya Nyumba 60 zimekabidhiwa katika sherehe za uzinduzi rasmi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) [Picha na Ikulu]. 18Aug 2018.
Wananchi waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Nyumba za kisasa wa “Fumba Town Development” huko Nyamanzi wilaya ya Magharibi “B”leo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake,[Picha na Ikulu].18/08/2018.


Hivyo makala MRADI WA UJENZI NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA

yaani makala yote MRADI WA UJENZI NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MRADI WA UJENZI NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mradi-wa-ujenzi-nyumba-za-kisasa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MRADI WA UJENZI NYUMBA ZA KISASA NYAMANZI VISIWANI ZANZIBAR WAZINDULIWA"

Post a Comment