NUSU FAINALI MAJIMBO CUP KUANZA KESHO JUMAMOSI

NUSU FAINALI MAJIMBO CUP KUANZA KESHO JUMAMOSI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NUSU FAINALI MAJIMBO CUP KUANZA KESHO JUMAMOSI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NUSU FAINALI MAJIMBO CUP KUANZA KESHO JUMAMOSI
kiungo : NUSU FAINALI MAJIMBO CUP KUANZA KESHO JUMAMOSI

soma pia


NUSU FAINALI MAJIMBO CUP KUANZA KESHO JUMAMOSI

Na: Abubakar Khatib “Kisandu”, Zanzibar.
Mashindano ya Majimbo ya Unguja hatua ya Nusu fainali itapigwa kesho Jumamosi Agost 5, 2017 kati ya Jimbo la Mji Mkoongwe dhidi ya Afisi kuu ya CCM Kisiwandui saa 10:00 za jioni katika uwanja wa Amaan.

Kwa mujibu wa mratibu wa Mashindano hayo Uledi Said amesema mechi hiyo itakuwa bila ya kiingilio.

“Matayarisho yamekamilika mechi nusu ya kwanza itachezwa Jumamosi nay a pili Jumapili na hakuna kiingilio”. Alisema Uledi.

Nusu fainali ya pili itapigwa Jumapili Agost 6, 2017 kati ya Jimbo la Kwahani dhidi ya Kikwajuni saa 10:00 za jioni katika uwanja wa Amaan.
Bingwa wa Mashindano hayo atazawadiwa gari aina ya Carry.


Hivyo makala NUSU FAINALI MAJIMBO CUP KUANZA KESHO JUMAMOSI

yaani makala yote NUSU FAINALI MAJIMBO CUP KUANZA KESHO JUMAMOSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NUSU FAINALI MAJIMBO CUP KUANZA KESHO JUMAMOSI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/nusu-fainali-majimbo-cup-kuanza-kesho.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NUSU FAINALI MAJIMBO CUP KUANZA KESHO JUMAMOSI"

Post a Comment