KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI

KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI
kiungo : KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI

soma pia


KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI

 Mgombea Udiwani wa Kata ya Vingunguti Kupitia Chama cha Mapinduzi , Omary Kumbilamoto akizungumza  na Wakazi wa Mtaa wa Butiama Vinguti wakati wa Mkutano wake wa Kampeni ya kuomba ridhaa kwa Wananchi wamchague kuwa Diwani wa kata hiyo.
 Mgombea Udiwani wa Kata ya Vingunguti Kupitia Chama cha Mapinduzi , Omary Kumbilamoto  akiwa amebebwa juu juu na Mkada wa Chama Chake wakati akiwa anawasili kwenye uwanja wa Butiama Vingunguti .


 Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Mkoa wa Dar es Salaam akimwaga sera na jinsi Ilani ya CCM inavyotekelezwa katika Serikali hii ya awamu ya tano
 Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakichea kwa pamoja mtindo wa Mduara wakati wa mkutano wa Kampeni za Udiwani kata ya Vingunguti
Wakazi wa Mtaa wa Butiama waliohudhuria Mkutanowa wa kampeni za udiwani za Omary Kumbilamoto


Hivyo makala KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI

yaani makala yote KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/kumbilamoto-aendelea-na-mikutano-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KUMBILAMOTO AENDELEA NA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA YA VINGUNGUTI"

Post a Comment