MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA

MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA
kiungo : MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA

soma pia


MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto ( Idara ya Afya) Dkt. Mpoki Ulisubisya akiongea na Waganga wakuu wa Mikoa na Halmashauri wakati wa kufunga mkutano wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri hawapo pichani ,kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa OR-TAMISEMI Dkt. Zainabu Chaula.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasirimali watu kutoka Wizara ya Afya Deodata Makana akiongea na Waganga wakuu wa Mikoa na Halmashauri wakati wa kufunga mkutano wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri hawapo pichani uliofanyika jijini Dodoma.
Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri wakifuatilia kwa makini maada mbalimbali zilizokuwa zinatolewa na wawasilishaji mbalimbali hawapo pichani wakati wa kufunga mkutano wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri uliofanyika jijini Dodoma.


Hivyo makala MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA

yaani makala yote MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mkutano-wa-waganga-wakuu-wa-mikoa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MKUTANO WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI WAFANYIKA JIJINI DODOMA"

Post a Comment