WANAWAKE WATAALAMU WA KILIMO ,UVUVI NA MIFUGO WAZINDUA KITABU CHAO KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA 21 WA CHAMA CHAO

WANAWAKE WATAALAMU WA KILIMO ,UVUVI NA MIFUGO WAZINDUA KITABU CHAO KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA 21 WA CHAMA CHAO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WANAWAKE WATAALAMU WA KILIMO ,UVUVI NA MIFUGO WAZINDUA KITABU CHAO KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA 21 WA CHAMA CHAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WANAWAKE WATAALAMU WA KILIMO ,UVUVI NA MIFUGO WAZINDUA KITABU CHAO KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA 21 WA CHAMA CHAO
kiungo : WANAWAKE WATAALAMU WA KILIMO ,UVUVI NA MIFUGO WAZINDUA KITABU CHAO KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA 21 WA CHAMA CHAO

soma pia


WANAWAKE WATAALAMU WA KILIMO ,UVUVI NA MIFUGO WAZINDUA KITABU CHAO KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA 21 WA CHAMA CHAO

Mgeni rasmi Bi. Butano Philipo wakiwa na Mwenyekiti wakizindua vitabu mbalimbali ikiwemo kitabu cha  Ufugaji wa samaki.

Chama cha wanawake  wataalamu kutoka Wizara ya Kilimo,Mifugo,Uvuvi na Mazingira, Tanzania association of women leaders in agriculture and environment  ( TAWLAE) wamefungua rasimi mkutano wa mwaka  wa 21 na kuhudhuriwa na Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa raisi bi Butamo Philipo kwa  niaba ya waziri wa  Mazingira  Mhe. January Makamba ambao umefanyika  jana katika viwanja vya wizara ya mifugo na uvuvi.

 Akizungumza katika mkutano huo wenyekiti wa chama cha wanawake kiongozi katika kilimo na mazingira Dkt. Sofia Mlote amesema Lengo kubwa la mkutano huo ni kuunganisha wakulima na tafiti mbalimbali  zilizoandaliwa na wataalamu hao.

 Maadhimisho ambayo yamebeba kaulimbiu isemayo  uchumi wa viwanda Tanzania wanawake tupo tayari,hapa ni kazi tu.

Aidha, Dkt. Sofia Mlote amesema kazi ya TAWLAE ni kuwaunganisha wakulima wadogo au wakubwa na tafiti mbalimbali ambaozo  zimetafitiwa hapa nchini  ili kuongeza uwekezaji na ajira kwa watanzania katika kilimo.

Akizungumza Dkt.Mlote amesema kilimo kilikuwa na faida ndogo kwa sababu utalaam,teknolojia na juhudi zilikuwa bado hazijatumika vizuri katika kilimo
 kuingia na uchumi wa viwanda  ni lazima uzalishaji  wa kilimo uwe na  tija , kuwepo na uboreshaji wa masoko na teknolojia ambapo wataalamu wanawake ndio wanajukumu kubwa katika kuleta mapinduzi ya kilimo alisema Dkt.Mlote
Getrude Mongela mlezi wa Tawlea ambaye ana PHD ya Philosophy alisema wanawake Uchumi wa viwanda Tanzania wanawake tupo tayari , Hapa kazi tu.

Vile vile amefarijika kuona amelea wanawake toka wakiwa wadogo na sasa wamesoma na wengine wana PHD lengo kubwa hasa alisistiza mpaka kufikia 2020 wanawake wawe wamekua kiuchumi na kuendelea kutoa  wasomi wa kutosha na kufikia malengo.
Kiongozi wa Chama cha Wanawake viongozi katika Kilimo na Mazingira Dkt. Sophia Mlote akimkaribisha mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu kutoka Ofisi ya makamu wa raisi Bi. Butano Philipo katika uzinduzi wa mkutano huo leo.


Hivyo makala WANAWAKE WATAALAMU WA KILIMO ,UVUVI NA MIFUGO WAZINDUA KITABU CHAO KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA 21 WA CHAMA CHAO

yaani makala yote WANAWAKE WATAALAMU WA KILIMO ,UVUVI NA MIFUGO WAZINDUA KITABU CHAO KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA 21 WA CHAMA CHAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WANAWAKE WATAALAMU WA KILIMO ,UVUVI NA MIFUGO WAZINDUA KITABU CHAO KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA 21 WA CHAMA CHAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/wanawake-wataalamu-wa-kilimo-uvuvi-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WANAWAKE WATAALAMU WA KILIMO ,UVUVI NA MIFUGO WAZINDUA KITABU CHAO KATIKA MKUTANO WA MWAKA WA 21 WA CHAMA CHAO"

Post a Comment