MEYA ILALA AWAPONGEZA WAKULIMA WANAOSHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE SHAMBA DARASA LA ILALA.

MEYA ILALA AWAPONGEZA WAKULIMA WANAOSHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE SHAMBA DARASA LA ILALA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MEYA ILALA AWAPONGEZA WAKULIMA WANAOSHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE SHAMBA DARASA LA ILALA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MEYA ILALA AWAPONGEZA WAKULIMA WANAOSHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE SHAMBA DARASA LA ILALA.
kiungo : MEYA ILALA AWAPONGEZA WAKULIMA WANAOSHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE SHAMBA DARASA LA ILALA.

soma pia


MEYA ILALA AWAPONGEZA WAKULIMA WANAOSHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE SHAMBA DARASA LA ILALA.



Na. John Luhende
 Mwambawahabari 
Mstahiki Meya  wa Manispaa ya Ilala Charles Kuyeko amewapongeza Wakulima na wadau wa Kilimo wa Manispaa ya Ilala kwa kazinzuri waliyoifanya katika shamba darasa la Manispaa hiyo lililopo hapa mjini Morogoro katika viwanja vya nanenane.

Kuyeko ameyasema hayo baada ya kutembelea shamba darasa la Manispaa hiyo ambapo amejiionea shughuli za Wakulima , wafugaji na Wajasiliamali wa mazao ya kilimo na Mifugo  wanaoshiriki maonesho wa Wakulima katika viwanja vya nanenane mjini hapa.

"Wamefanya kazi nzuri napenda niwashukuru wadau wetu  nimeona mlivyo jipanga naona hapa  na kaulimbiu ya mwakahuu inayosema, Wekeza katika kilimo, katika Viwanda na katika uvuvi kwa maendeleo ya viwanda  wametekeleza ipasavyo" alisema.

Nanenane ya mwakahuu imekuwa bora na nifurahishwa na kilimo cha Uwiano kinatumia mazingira, na kilimo cha mbogamboga na mazao mengine na kusema kuwa kunatija katiki kushiriki  maonyesho hayo ukilinganisha na miaka iliyopita.

Naye Afisa kilimo wa Manispaa ya Ilala sija Hadson Sije, amewakaribisha wananchi wote kutembelea shamba Darasa la Ilala ili we wezesha kujifunza mbinu mbalimbali za kilimo hasa kilimo cha mjini.

"Ilala iko mjini tumekuja kuonyesha namna pia ambavyo wananchi wanaoishi mjini wanaweza kutumia eneo dogo kwa kulima na kuotesha michezo ya mbogamboga na wakipata mbogamboga bora zisizo na kemikali kwa kutumia mbolea ya asili" alisema

Kwa upande wa ufugaji wanaonea namna ya kufunga samaki, kuku, bata, Sungura ng'ombe na mbuzi.


Hivyo makala MEYA ILALA AWAPONGEZA WAKULIMA WANAOSHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE SHAMBA DARASA LA ILALA.

yaani makala yote MEYA ILALA AWAPONGEZA WAKULIMA WANAOSHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE SHAMBA DARASA LA ILALA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MEYA ILALA AWAPONGEZA WAKULIMA WANAOSHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE SHAMBA DARASA LA ILALA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/meya-ilala-awapongeza-wakulima.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MEYA ILALA AWAPONGEZA WAKULIMA WANAOSHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE SHAMBA DARASA LA ILALA."

Post a Comment