title : MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA
kiungo : MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA
MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA
Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Partson akimuelezea Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Mheshimiwa Profesa Davis Mwamfupe orodha ya Maspika waliowahi kuongoza Bunge pamoja na Kumbi zilizowahi kutumika kuendesha vikao vya Bunge.Mheshimiwa Mwamfupe alitembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma.
Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Partson akimuonyesha Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Mheshimiwa Profesa Davis Mwamfupe kitabu cha Viapo vya Waheshimiwa Wabunge cha miaka iliyopita. Mheshimiwa Mwamfupe alitembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma.
Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Partson akimuonyesha Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Mheshimiwa Profesa Davis Mwamfupe vazi la Spika pamoja na kumuelezea historia ya vazi hilo. Mheshimiwa Mwamfupe alitembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma.
Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu Omary Machunda akitoa elimu kwa umma kuhusiana na Bunge kwa wanafunzi wa Shule ya Awali ya Taqwa wakati wanafunzi hao walipotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Viwanja vya Maonyesho ya Nanenane Jijini Dodoma.
Hivyo makala MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA
yaani makala yote MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mambo-katika-banda-la-ofisi-ya-bunge.html
0 Response to "MAMBO KATIKA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA"
Post a Comment