title : Waziri Aboud akagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
kiungo : Waziri Aboud akagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Waziri Aboud akagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
MAFUNDI wa Ujenzi kutoka Kikosi cha Kuzuwia Magendo zanzibar KMKM, wakiendelea na ujenzi wa Nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, unaoendelea huko Pagali Wilaya ya Chake Chake Pemba (PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed, akimsikiliza kwa makini injia wa ujenzi kutoka idara ya Majenzi Pemba Mansour Mohamed Kassim, juu ya hali ya ujenzi wa Nyumba za Makaazi za Makamu wa Pili unavoendelea huko Pagali, Chake Chake Pemba (PICHA NA
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed wa pili kulia, akiangalia ramani ya Ujenzi ya Nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais, ujenzi unaoendelea huko Pangali Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed wa pili kulia, akiangalia ramani ya Ujenzi ya Nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais, ujenzi unaoendelea huko Pangali Wilaya ya Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Waziri Aboud akagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
yaani makala yote Waziri Aboud akagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Aboud akagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/waziri-aboud-akagua-maendeleo-ya-ujenzi.html
0 Response to "Waziri Aboud akagua maendeleo ya ujenzi wa Nyumba za makaazi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar"
Post a Comment