title : KUMBUKUMU YA MAREHEMU MAMA HELLEN BYARUGABA - KUZALIWA 19/03/1944- KUFARIKI 07/08/2014
kiungo : KUMBUKUMU YA MAREHEMU MAMA HELLEN BYARUGABA - KUZALIWA 19/03/1944- KUFARIKI 07/08/2014
KUMBUKUMU YA MAREHEMU MAMA HELLEN BYARUGABA - KUZALIWA 19/03/1944- KUFARIKI 07/08/2014
NI MIAKA MINNE SASA TANGU UTUTOKE MPENDWA WETU, MAMA HELLEN HUBERT BYARUGABA. INGAWA ULITUTOKA GHAFLA BILA NENO LOLOTE KWETU, MATENDO YAKO YATABAKIA DAIMA NDANI MWETU NA AMANI NA UPENDO ULIVYOTUACHIA VITAENDELEA KUWA MWONGOZO KWETU.
JAPOKUWA HAUPO NASI KIMWILI LAKINI KIROHO BADO TUPO NAWE. MAMA TULIKUPENDA SANA NA TUTAENDELEA KUKUPENDA DAIMA.
UNAKUMBUKWA SANA NA MUME WAKO LEOPOLD BYARUGABA, WATOTO WAKO HENRY, LILIAN, LEVINA, LEODGAR-ALUTA, JIMMY PAMOJA NA FAMILIA ZAO WOTE NA MARAFIKI PIA
BWANA ALITOA NA BWANA ALITWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
AMINA
Hivyo makala KUMBUKUMU YA MAREHEMU MAMA HELLEN BYARUGABA - KUZALIWA 19/03/1944- KUFARIKI 07/08/2014
yaani makala yote KUMBUKUMU YA MAREHEMU MAMA HELLEN BYARUGABA - KUZALIWA 19/03/1944- KUFARIKI 07/08/2014 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMU YA MAREHEMU MAMA HELLEN BYARUGABA - KUZALIWA 19/03/1944- KUFARIKI 07/08/2014 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/kumbukumu-ya-marehemu-mama-hellen.html
0 Response to "KUMBUKUMU YA MAREHEMU MAMA HELLEN BYARUGABA - KUZALIWA 19/03/1944- KUFARIKI 07/08/2014"
Post a Comment