title : MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KILELE CHA SHEREHE YA WAKIZIMKAZI
kiungo : MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KILELE CHA SHEREHE YA WAKIZIMKAZI
MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KILELE CHA SHEREHE YA WAKIZIMKAZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi kombe Nahodha wa Timu ya Wavuta Kamba ya Wanawake ya Kizimkazi Dimbani Bi. Nasma Khamis mara baada ya kuibuka washindi dhidi ya timu ya Kizimkazi Mkunguni ikiwa sehemu ya sherehe ya siku ya Wakizimkazi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hassan Khatibu Hassan wakiangalia mkoba wa wanawake uliosanifiwa na ukili waliotembelea maonyenyo ya wanawake na vijana wajasiriamali wakati wa kilele cha sherehe ya Siku ya Wakizimkazi iliyofanyika Kizimkazi Wilaya ya Kusini mkoa wa Kusini Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Kundi la Kusini Star likitumbuiza wimbo maalum wa kujali haki za mtoto haswa wa kike wakati wa kilele cha sherehe ya Siku ya Wakizimkazi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa wilaya ya Kusini kwenye kilele cha sherehe ya Siku ya Wakizimkazi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Timu wa Wavuta Kamba ya Wanawake ya Kizimkazi Dimbani waangalia mchezo huo baada ya kuishinda timu ya Kizimkazi Mkunguni kwenye mchezo uliochezwa wakati wa kilele cha sherehe ya Siku ya Wakizimkazi iliyofanyika kizimkazi Wilaya ya Kusini mkoa wa Kusini Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Wakazi wa Kizimkazi wakipimana msuli kwenye mchezo wa kuvuta kamba ikiwa sehemu ya kilele cha sherehe ya Wakizimkazi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) .HABARI ZAIDI BOFYA HAPA>>>>
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KILELE CHA SHEREHE YA WAKIZIMKAZI
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KILELE CHA SHEREHE YA WAKIZIMKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KILELE CHA SHEREHE YA WAKIZIMKAZI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/makamu-wa-rais-ahudhuria-kilele-cha.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA KILELE CHA SHEREHE YA WAKIZIMKAZI"
Post a Comment